Nimewakusudia watanganyika wanaotumia mitandao ya kijamii.
Wakati wapestina wanapigania haki zao na ardhi yao dhidi ya WaIsrael, Watanganyika walikua wakibeza na wakiona Palestina ni haki yao kufanyiwa vile.
Leo watanganyika tumeonjwa tu, nasema tumeonjwa kilichotokea siku 1 , 2 au 3 hayafanani yaliowakuta Wazanzibari au hata Palestina hata robo yake.
Leo kelele zimekua nyingi upande wa Tanganyika.
Hili liwe funzo kwetu, kwamba unaweza ukadai haki yako lkn wenye nguvu wakakunyazamisha na kukuundia propaganda