Watanganyika tujifunze, tuache kubeza katika mitandao

Watanganyika tujifunze, tuache kubeza katika mitandao

20251106_075137.png
 
Alie mwelewa naomba anisaidie na Mimi nielewe
 
Muliwabeza watanganyika kwamba ni maiti nyumbu hawawezi kitu watasahau wajinga wapumbavu na malofa ACHENI waandamane wajinga wale.

Ngoja tuone
 
Tuliwabeza sana Hamas wakati wanapigania nchi yao.
Tuliwabeza sana Zanzibar 2021.
Tujifunze dunia ni mviringo na jua linazunguruka.
Kabla hujafa hujaumbika.
Allah awape subra wafiwa wote
Hiyo ya wazanzibar ni uongo watanganyika wamedai serikali 3 toka kitambo wewe labda unawazungumzia mafisadi wa ccm ...leo hii samia ni mzanzibar ila hataki kuweka mfumo sahihi wa muungano wa serikali 3 au kuvunja muungano na wazanzibar wapo kimya siku zinakuja wazanzibar watapata tabu sana na kujutia hii nafasi kwa machozi na damu .....
 
Kumaanisha?
Huyo Malaria ni Mzanzibari anahalalisha kitendo cha Wazazi wenzake kuua maelfu ya Watanganyika kuwa wanalipiza mauaji yaliyofanywa na polisi kule visiwani mwaka 2001. Hapa jukwaani Wazanzibari wote wanafurahia KMKM walivyomwaga damu ya maelfu ya Watanganyika ili Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika yetu.
 
Huu uzi hadi hapa ulipofika kuanzia comment ya kwanza Hadi 10 ni watu wenye upeo mdogo wa kuelewa mambo

Mm nimekuelewa sana nini unamaanisha
 
Watanganyika hawajawahi kuwabeza Wazanzibari katika mapambano yao
 
Huyo Malaria ni Mzanzibari anahalalisha kitendo cha Wazazi wenzake kuua maelfu ya Watanganyika kuwa wanalipiza mauaji yaliyofanywa na polisi kule visiwani mwaka 2001. Hapa jukwaani Wazanzibari wote wanafurahia KMKM walivyomwaga damu ya maelfu ya Watanganyika ili Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika yetu.
Watanganyika tumempa 98% mzanzibar atuongoze
 
Tuliwabeza sana Hamas wakati wanapigania nchi yao. Tuliwabeza sana Zanzibar 2021.

Tujifunze dunia ni mviringo na jua linazunguruka. Kabla hujafa hujaumbika.

Allah awape subra wafiwa wote
Jua halizunguki bro tatizo lako ni kuishia madrasa ukajiona mnajimu umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom