GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
Umesikiliza wapi mkuu?NB;wakenya hawapindishi na hawana uogaHii mitusi ya Wakenya sio kabisa, nimesikiliza inanitia hasira tu ujinga wa mtu mmoja tunajumuishwa wote how come?
Youtube huko wanatukana kuanzia Rais mpaka mtoto wa Chekechea yaan mpaka mtoto anaezaliwa leo km amezaliwa Tanzania basi wote Wajinga,Umesikiliza wapi mkuu?NB;wakenya hawapindishi na hawana uoga
Leo ni mapumziko.. Lakini bado wako kwenye shock na homa ya Simba inachangia pia.. Subiri kuanzia keshoNimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia!
Lakini imezoeleka kuwa kila anapoongea mtu mwenye uzalendo juu ya nchi ya Tanganyika huibuka wanaojiita "machawa" kumjibu kwa lengo la kuwatoa watu kwenye reli. Wameshafanya hivyo mara kadhaa kwa wazee wa Taifa: Jaji Joseph Sinde Waorioba na Mzee Butiku Nyerere!
Sasa safari hii kimeongea chuma kisichohofia mashambulizi. Ukilianzisha yeye analimaliza!
"Machawa" wanamfahamu Dr. Josephath Gwajima? Watathubutu kumchokonoa kwa kumjibu au watakubali yaishe?
Mjomba nakukubali sana mwana nipo nakula pombe karibu mitaa ya bundes mwanzaLeo ni mapumziko.. Lakini bado wako kwenye shock na homa ya Simba inachangia pia.. Subiri kuanzia kesho
Nenda TikTok ni balaaUmesikiliza wapi mkuu?NB;wakenya hawapindishi na hawana uoga
Acha tutukanwe; docility yetu imezidi kipimo!Wakenya wanatutukana kinomanoma yaan ukiingia YouTube tunatutukana kisengeee, yaan dah ndio maana Gwajiboi kasogea front maana sio kwa ile mitusi ya Wakenya, eti sisi elimu yetu ni upuuzi? Watanzania ni Wajinga?
Imeuma sana kutukanwa sisi April Fools?Acha tutukanwe; docility yetu imezidi kipimo!
Helicopter sio nzuri kipindi cha uchaguzi, unafanya kazi ya watoa kafara kua rahisi sana.Hiv ile helcopter yake bado anayo?
A better end.daima,
hotuba ya gwajima,
ni hulka ya mtu asie na shukran, aliesense kutokukubalika na kutokuaminika tena kwa wananchi huuu nafsi yake ikitamani kuendelea kuwatumikia wananchi, lakini ndio hivyo tena hakuna namna, anatafuta pa kutokea na kujaribu kuwin support na public sympathy ya kakundi kadogo tu ambako kwa kawaida huwa kana kanajifanya kako sahihi sana mitandaoni na hakapo kabisa field.
Kiufupi,
this is the end of gwajima kawe politics. Na hakuna mbeleko ya kumbeba safari hii🐒
Anazo mbili.Hiv ile helcopter yake bado anayo?
Wewe tuambie anayeteka na kuua watanzania ni nani?.daima,
hotuba ya gwajima,
ni hulka ya mtu asie na shukran, aliesense kutokukubalika na kutokuaminika tena kwa wananchi huuu nafsi yake ikitamani kuendelea kuwatumikia wananchi, lakini ndio hivyo tena hakuna namna, anatafuta pa kutokea na kujaribu kuwin support na public sympathy ya kakundi kadogo tu ambako kwa kawaida huwa kana kanajifanya kako sahihi sana mitandaoni na hakapo kabisa field.
Kiufupi,
this is the end of gwajima kawe politics. Na hakuna mbeleko ya kumbeba safari hii🐒
DAKIKA 90's zitaamua na for sure 😃 😊 hakuna alie wai ku battle na ASKOFU GWAJIMA na akatoka salama reference zipo nyingi.Nimeisikiliza hotuba ya Askofu Gwajima "akilihutubia" taifa! Ni hotuba nzuri iliyoweka mbele maslahi ya taifa! Si bure Watanzania wote wenye akili wanaifurahia!