Hebu mwangalie huyo kijana mwingine alivyojeruhiwa hapo kwenye pua chini ya jicho, inasikitisha sana!
Hivi kwa mtu mwenye printer anaweza kuprint hizi picha za hotel na hao 'wezi' ampelekee mtoto wa darasa la nne, ni wazi kuwa watu wa aina hiyo hawana uwezo wa kuiba kwenye hotel kama hii. ..labda, lakini naamini katika hili Mungu atalipa kwa kila mtu na haki yake
Polisi wa Tanzania Ni wa ajabu sana tena sana, kwanini hamfanyi kazi kwa ukweli na uwazi, inasikitisha sana. mpaka lini mtakuwa zimamoto, jamani Tanzania hii mpaka lini, katiba mpya ije haraka nitoe yangu mapendekezo
Jamani ndio wenyewe kweli hawa?mbona hawafananii kabisa kuiba kwenye hilo jengo la kifahari?Malima ukweli anao yeye aseme vizuri tu,vinginevyo malipo ni hapa hapa duniani.
Hii nchi ya ajabu sana yaani police wanakubali kubeba dhambi za waziri na kujifanya kumfichia madhambi yake aliyokuwa ameyafanya sasa Mungu kamuumbua police wanatumika kukamata watu wawe sadaka kwa kuficha aibu ya waziri lakini too late watanzania wote sasa tunajuwa waziri aliingia hotelini na nani na kaibiwa na nani kwani wanadhani watu wanaofanya kazi hapo ni watu wa serikali wa kuficha maovu tooo late every thing is out mengne mnapaka rangi upepo tu
huyo demu aliyemliza kampiga picha jamaa mpaka uboho wa mheshimiwa uko wazi kuna jamaa wa picha hizooi soon watazipost labda mheshimiwa awaombe msamaha...
Sambamba na hili polisi watueleze pia kma raia anaruhusiwa kumiliki sub machine gun.(s.m.g)kama ilvotokea kwa mh.adam kumiliki siraha hyo,haki ifuate mkondo wake.