watambue wana JF hapa

kabila gani hilo it cant be maasai maana hawajatobolewa maskio, labda wale wanotoa click sound
 
Kutoka kulia ni mkuu watu8 ,akifuatiwa na kijana mrefu na mtanashati BUJIBUJI,mwenye mdomo wazi ni boflo, anaefuata ni dadaetu lala 1,akifuatiwa na pretta.Mwenye kitenge ni madam B, akifuatiwa na paloma,mbele yake kuna mbuzi mzee,mzizimkavu, na dogo mmoja anaitwa godoro-la-comfy.Wakiwa katika picha ya pamoja baada ya semina ya siku mbili.
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahhaa, gfsonwin na Baba V mie simo, mkija kung'olewa kucha na meno,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…