Watalamu wa mobile App

curry_atomic

Member
Mar 30, 2020
57
48
Habarini ndugu nilikuwa nataka kutengeneza mobile app kama project ya chuo mwaka wa mwisho ila walimu wameniongezea requirements wameniambia kwenye io app hata mtu mwenye simu ya button kama nokia hizi feature phone aweze ku-access app kwa kutumia voice gate yaani aweze kutuma ujumbe kwenye app na pia aweze kupiga simu kwa special number kama vile mitandao yetu ya simu inavosema bonyeza 1 kupata huduma fulani kwa maana sasa apate huduma fulani katika hiyo app.

Je, hiki kitu kinawezekana? Sina uzoefu na hilo.

Natanguliza shukrani
 
Habaribi ndugu nilikua nataka kutengeneza mobile app kama project ya chuo mwaka wa mwisho ila wameniongezea requirements wameniambia io app hata mtu mwenye simu ya button kana nokia izi future phone aweze kua access app kwa kutumia voice gate je ichi kitu kinawezekana sina uzoefu na ichi.....natanguliza shukrani

Hili ni swali serious linalohitaji majibu serious. Hivyo nakushauri upitie swali lako kama kuna any typos (typing errors) urekebishe. Pia nakushauri uongeze details.

In the meantime jaribu ku google:
》Develop app for KiOS
》Develop app for feature phone
》Develop app for nokia Symbian

Utapata insights. Pia ukiweza kuongeza maelezo yako kwenye swali lako unaweza jibiwa vizuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: dtj
unasoma kozi gani na unapiga Language gani?
-simu za button za kawaida zipo kibao zenye OS tofauti ambazo ni proprietary hata unaweza kushangaa inaelewa app za language gani🙆.

Weka maelezo sawa ili uwe na target inayotekelezeka mkuu. Rudi kwa mwalimu tena akupe maelezo vizuri
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Ahaa ye anamanisha simu ya button ambayo haiwezii kutumia app yoyote yaan yenyew ni kupiga na kutuma sms
 
Hawa ndo wasomi vilaza vyuo vinazalisha, special project NI kazi ya kufanya utafiti na kugundua au kutengeneza kitu kwa akili yako. Sasa unakuja kuuliza humu uambiwe halafu upeleke kwa msimamizi upewe marks na cheti uje mtaani huna kitu kichwani halafu ujiite msomi.
Bogus kabisa
 
Ndugu project Bora hutegemea mawazo ya wengi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Habarini ndugu nilikuwa nataka kutengeneza mobile app kama project ya chuo mwaka wa mwisho ila walimu wameniongezea requirements wameniambia kwenye io app hata mtu mwenye simu ya button kama nokia hizi feature phone aweze ku-access app kwa kutumia voice gate yaani aweze kutuma ujumbe kwenye app na pia aweze kupiga simu kwa special number kama vile mitandao yetu ya simu inavosema bonyeza 1 kupata huduma fulani kwa maana sasa apate huduma fulani katika hiyo app.

Je, hiki kitu kinawezekana? Sina uzoefu na hilo.

Natanguliza shukrani
Inawezekana lakini lazima ukostike ili kupata live gateway.
NB; you can do it locally Kisha ukafanya simulation ili kupresent kazi yako kwa hao walimu wako

Watambue hivi hii kitu haihitaji ujuzi tu bali pesa mingi

Namaliza kwa kusema kajifunze namna ya kuunda USSD apps kazi ni rahisi, ila ugumu uko hapo kwenye cost.

Usinifate PM na Kama ukinifata andaa pesa nyingi lasivyo endelea kugugo utafanikiwa.
 
Labda technicaly inawezekana lakini hautengenezi App tena unatengeneza project nyingi tofauti, App, Voice gateway, USSD etc kwa project ya shule hii haileti maana ni too complex hasa kama ni kwa mtu mmoja, walimu wanakuingiza pabaya hapo.
Tafuta project ambayo ni kitu kimoja.
 
Back
Top Bottom