watalam wa miamba(GEOLOGIST)

bsci in geology unakua unasoma geology as geology bila mambo mengine kama maths,phy....ila kwenye bsci with geology unakua unasoma geology kama geology na ku specialize katika any two scientific fields kama phy,geog,comp sci,bios etc...zote hizo zinatolewa ud....ziko poa hasa bsci with geology!!!
 
Hivi mtu aliyesoma EGM anaweza somea bsc with geology and computer sci
 
hiyo ni kwamba ANAWEZA!!! kwa ud according to tcu guide book walikua wanachukua ila lazima uwe na one kali...bila kusahau uwe umepiga science form4.....
 
Hivi mtu aliyesoma EGM anaweza somea bsc with geology and computer sci
ila kwa ud comp science wanataka watu wa pcm na pgm..ila ukiwa mjanja unaweza chukua bsci with geology afu kwenhiyo part ya science ukaspecializ kweny comp science....
 
Vipi market kati ya Geology, Mineral Metallurgy and Chemical Processing, Na Mining engineering. Ipi ina soko kubwa la ajira na ina mshahara mnono.
 
geology na mining engineering zina future nzuri ktk kipato.
 
Attachments

  • Plane_Bombing.jpg
    Plane_Bombing.jpg
    11.4 KB · Views: 88
Vipi market kati ya Geology, Mineral Metallurgy and Chemical Processing, Na Mining engineering. Ipi ina soko kubwa la ajira na ina mshahara mnono.
MKUU MIMI NAIMAN NI ZOTE!!!! hiyo ya metallurgy ni prog mpya sana hapa bongo na imeanzishwa this year pale ud...obvious it must have a gud future hasa ukilinganisha ni mpya na watu kama hao(wa kufua na kuzalisha vyuma) hapa bongo hawapo.... ALL IN ALL THEY BOTH PAY GUD...UTAYOPATA WE NENDA!!!
 
Mkuu tupe mrejesho, miaka imekimbia sana. Naamini umesha experience mambo mengi. Vipi kuhusu ajira kiujumla and other opportunities.
Hahahah ngoja tumsubirie ajibu,ila Magu 2015 ndo aliharibu chakula ya hizo kozi watu wakakosa kazi
 
Back
Top Bottom