Watalaam wa software

Watalaam wa software

Nachokushauri ni hivi, ingia file manager nenda upande wa storage yako. Touch yakifunguka folders zote litafute Whatsapp.

Ndani ya folder ya whatsapp fungua folder linaloitwa Databases, ndani yake utaona files nyingi. Long press moja kuselect halafu chagua select all juu kabisa ya simu, maliza kwa kudelete utayafuta yote. Baada ya hapo hebu cheki storage yako, ipo vilevile?
 
Asante kuna kanielekeza njia nyingine nmeifuata imesaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue sio app, Futa cache data kwenye setting--storage---internal. Mbona simple

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Yale mafile niliyokwambia uyafute, ni yanajijaza pindi unapoangalia image au video status hivyo storage inapungua. Nenda file manager>storage>whatsapp>databases>delete all folder inside this,

yaondoe yote halafu tazama
hapana aisee, hapa anafuta backup zake zote za whatsapp, msg zake zote zitapotea mpaka kwenye magroup
 
hapana aisee, hapa anafuta backup zake zote za whatsapp, msg zake zote zitapotea mpaka kwenye magroup
Backup ya whatsapp inafanywa kwenye email siku hizi si kwenye simu. Mimi mbona nimefuta mara kibao na message za tangu April zipo.

Ipo hivi, ukifungua status uangalie video au picha jua file lake linakuja mfumo wa database na kukaa huko kwenye folder linaloiwa Databases
 
hivi unafahamu kwanini whatsapp imekuwa maarufu kuliko apps nyengine? whatsapp walianzisha mfumo wa chat zako zinakaa kwenye simu yako na sio server ya mtu yoyote ile, wewe kama umeamua kuwapa google taarifa zako zote ni wewe, ila mimi na watu wengine hatutaki taarifa zetu ziende google, hapo unaposema tufute ndio chat zetu zote zinapokaa.

na hata kama umesave kwenye email uki restore unafkiri zitarudi wapi? hapo hapo ulipofuta, hivyo unafanya tu mchezo wa kufuta, gmail inarudisha, unafuta gmail inarudisha.
 
Maana kuna Meseji ilikua inakuja iki sema update software xaxa baada Ku Fanya iyo ishu ikajzma yenyewe na kujiwasha yenyewe xaxa nkawa naenda fungua playstore naon haifunguk kabxa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom