Ally Baudouin
Member
- Jul 25, 2021
- 6
- 5
[emoji3478] Na Mjenzi Ally Baudouin
Mwalimu wa Kizazi Kipya Cha Kristo
_____________________________________
Basi Martha akamwambia Yesu, Bwana, kama ungalikuwapo hapa, ndugu yangu hangalikufa (habari za Lazaro) __ Yohana 11:21
Namna unavyoishi nao ndio style pekee itakayowafanya wakukumbuke
Ikiwa wenzio wanakumbukwa kwa mazuri zaidi ni kwa sababu ya maandalizi hayo ni tokea wakiwa pamoja
Kwani unaishi nao vipi ?
Baada ya Lazaro kufa, dada yake Martha alitamani uwepo wa Yesu Kristo mpaka akakumbuka na kusema laiti Yesu ungekuwepo hapa haya yasingetokea.
Ndivyo wenzio wanavyokumbukwa ivo kwa uzuri:
[emoji3578] Fulani angekuwepo hapa wala tusingelala njaa
[emoji3578] Nisingeangaika kiasi hichi ikiwa Fulani angekuwepo
Pengine kwako kitu ya namna hii imekuwa tofauti kabisa, unapowapa mgongo tu:
[emoji3578] Nafuu ameondoka, hana jipya.
[emoji3578] Mzee wa lawama, hata hamu naye sinaga.
Ishi namna rafiki na jamii yako ili ukumbukwe zaidi kwa mazuri
____ Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.
Ikawa siku zile akaugua, akafa; hata walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.
Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika, wakampeleka juu orofani wajane wote wakasimama karibu naye, wakilia na kumwonyesha zile kanzu na nguo alizozishona Dorkasi wakati ule alipokuwa pamoja nao. Matendo 9:36-37,39
[emoji3578] Mama Dorkasi alikumbukwa kwa uzuri kiasi kwamba watu wakatamani arudi hai ila ndo basi tayari ameshakufa.
[emoji3578] Aondokapo mtu mwenye kumbukumbu nzuri kwa watu uhacha huzuni kama wajane kwa Dorkasi
[emoji3578] Je, watakukumbuka kwa heri au kwa ubaya?
[emoji3578] Watu ni Adhina, Ishi nao poa
AsanteNashukuru kwa muda wako
Na Mjenzi Ally Baudouin