Uhakika wa uhusiano upo katika test

Uhakika wa uhusiano upo katika test

Ally Baudouin

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
6
Reaction score
5
Siku moja watumbue ili waropoke yote ya moyoni mwao

Jifanye kumkosea ili uone reaction yake ni ya namna gani dhidi yako, Mfano "Kaka, nina mimba yako" ni namna gani atakujibu.

Mitiani midogo midogo ni muhimu maana utabaini adhina ilofichama

"Boss naomba likizo japo ya siku moja" pima kijiti ujue ikiwa kimejaa kwa sababu kwa njia hii itakurahisishia wakati muhafaka kuwa na majibu ya ziada

"Nimepoteza hela yako" Duh !!! leo ndo leo utataja jina langu la utotoni ... eeh yamekuwa hayo hata hazijapotea (kimoyomoyo unajisemea huyu ni mtata).

Miongoni mwa hao ndugu, jamaa na rafiki zako natumai wapo baadhi ukiwafanyia TEST hii hakika watatapika yote ya moyoni.

Ni lazima kuwa na uhakika kwa uhusiano wowote uliyomo, sasa unaupata je ikiwa kila leo ni *** yabidi siku zingine ††† halafu utawagundua wa kweli na wampito.

Sijafundisha ugonvi baina yenu walah!!
Bali TEST zafaha kwa sababu kwa njia hii utawatambua tu.

Cheko haina gharama, imekuwa zawadi kwa wote. Tunaambatana na wengi wasio sahihi na ni vigumu kuwatambua kwa wakati sahihi. Hivyo basi watest tu!!!

"Mchumba, sorry sana naomba tuishie hapa maana ..." Eeeh kama vipi yaishe kwanza mwenzio nimechoka kabisa na harakati zako utafkiri pimbi,____ Duh!!! Juwa hapo huna lako ...

Test ndiyo kipimo cha uhusiano, uwe makini katika kutest maana wengine huwaga si makini

Zaidi niombe kusema, maisha bila test ni mseleleko kwenye mporomoko, geuza gia [change Gear] kwa sekunde umuelewe zaidi

Kwa wema!!!
AsanteNashukuru kwa muda wako
Na Mjenzi Ally Baudouin
Mwalimu wa Kizazi Kipya Cha Kristo

FB_IMG_1659434176889.jpg
 
Kujaribu jaribu wakati mwingine si vizuri, unaweza Kuta unapoteza mtu/kazi sahihi, kwasababu eti ulitaka uone mtu ata react vipi.

Kuwa makini.
 
Kati ya vitu sipendi kwenye mahusiano ni hizo test za kipumbavu.

Jitu linakwambia lina mimba, wewe unaliamini unaanza harakati za kule mimba na connection za hapa na pale halafu kesho yake linakwambia "nilikua nakutani nilitaka kujua utasemaje"

Jinga kabisa, na hiyo inaweza kua ticket ya kuachana kabisa,
utanitest mpaka lini??
Unadhani mimi ni mtu perferct sina makosa??
Mimi ni malaika?

Na usiombe unitest nikajua unanitest na mbaya zaidi mbususu hujatoa, hakyanani ntakachokufanya nikikukula hutaamini na matest yako.
 
Kujaribu jaribu wakati mwingine si vizuri, unaweza Kuta unapoteza mtu/kazi sahihi, kwasababu eti ulitaka uone mtu ata react vipi.

Kuwa makini.
AsanteNashukuru
Tunayo Page iitwayo " Ally Baudouin "
Nakuomba ulitafute hapa Facebook halafu ujiunge Ili usipitwe na masomo yetu.

Bofya Link [emoji116][emoji116][emoji116]

 
Back
Top Bottom