Walioandikishwa kupiga kura milioni 19.6
Wanachama hai wa vyama vyote vya siasa takribani milioni 7.6
Wasiokuwa wanachama milioni 12(?). Hawa ndio deciding group. Huwa hawapigi kelele, wanaenda kimyakimya. Hawahitaji kushawishiwa maana wanaelewa.
Msitishwe na mashati ya kijani wala nyimbo za TOT . Ni sawa na kelele za chura mtoni. Hazimzuii ngombe kunywa maji.
Kwa taarifa yako mimi ni CCM lakini kura zangu zote ninawapa Chadema na sipo pekee yangu kwenye hili...................
kwa taarifa yako mimi ni ccm lakini kura zangu zote ninawapa chadema na sipo pekee yangu kwenye hili...................
kila kona watu wanakiponda kile chama,
wamiliki wasivoona mbele hawakati tamaa,
utadhani mchezo wa kuigiza vile jamaa,
shime wananchi tuungane tumbwage huyu bwana mkubwaa,
2010 sote tumpigie kura yetu rais anayetujali ambaye ni dr slaa.
Kwa taarifa yako mimi ni CCM lakini kura zangu zote ninawapa Chadema na sipo pekee yangu kwenye hili...................
If you dont have anything to say, dont say it here!mimi nipo kwenye kundi la wasio na vyama utanithibitishia vipi kuwa slaa ndio anaetujali? Na ninatatizika na hili swala la udini ndani ya chama cha muheshimiwa slaa sijui nalo lina maelezo gani bila kusahau ukabila na mambo ya koo ndani chama cha chadema.
Ahsante sana.
basi wewe sio ccmKwa taarifa yako mimi ni CCM lakini kura zangu zote ninawapa Chadema na sipo pekee yangu kwenye hili...................