Watakao kuwepo kwenye tume ya kuratibu katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watakao kuwepo kwenye tume ya kuratibu katiba mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by jino kwa jino, Jan 3, 2011.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi majuzi tumemsikia mheshimiwa Rais Dr JK akisema ataunda tume makini kuratibu mchakato wa kupata katiba mya, je hii tume inapaswa kuwa na watu gani?

  nawakilisha
   
 2. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hauko makini. Sasa umewasilisha nini?
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Tume feki sura ni zile zile,

  Kutoka kwa mwizi wa kura yule yule,

  wakoloni ngozi nyeusi wale wale,

  vibaraka wale wale,

  Hao hao waliowahi kutuhumiwa.

  Sitaji hata mmoja,maana ni wale wale
   
 4. t

  tononeka Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwani we unaona nani anafaa!! mbona hujawasilisha mawazo yako?
   
 5. M

  MLEKWA Senior Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kingunge ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya katiba
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ridhiwani, january, salma, vicky, na wale vijana wa THT
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu.. kuratibu katiba......?..... huko bado ...... ni hivi... constitution review commission..., tume ya kupitia katiba....
   
 8. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  werema, makamba, hawa ghasia, wilson kabwe, lowassa, mungai, mramba, bila kumsahau mzee malecela
   
 9. m

  maswenga Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2007
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 15
  Mbona unachanganya madawa na hii list yako?!
   
Loading...