Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
unconfirmed news
Zinasema kwamba microsoft wa release Windows 9 mnamo 2014 or early 2015
.
hii imetokana na Windows-8 kutokuwa na features mpya sana ambazo ni zaajabu tofaut na Windows-7 zaid ya start-menu ambayo haina kaz zaid ya kukupeleka ktk start-screen
.
USER pia hawakupenda kuondolewa kwa AERO kama ilivyo windows-7,
Designer Redmond bado anaumiza kichwa,
.
itakuwa na muonekano kama huu wa lock screen
.
Na pia full working start menu
.
.
@Disigner ametumia Linux kama inspiration
.
Hiki kitu bado kina mchanganya designer, kwa kuwa Windows-8 ilikuwa flat kitu ambacho kiliwauz user weng, na haikuwa na AERO tazama picha hii tofauti kati ya Windows 8 na windows 7 UI
.
.
.
lakin AERO haitakiwi sana kwenye windows hii lakin user bado wanaitaka kitu ambacho bado kina mchanganya Designer kwani itakuwa kama ni review ya windows-7

Last edited by a moderator: