Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Huyo ERoni ni Babu yangu 😁
Naona umejiokotea ukoo mzima humu 😂
giphy-downsized 9.GIF
 
Kila mtu ana play part yake huwezi kwenda kunya chooni na Sahana ya chakula mkononi ukila, mpira ni dakika 90 tu, ukiisha mambo mengine yanaendelea tunarudi majumbani kuendelea na maisha mengine, huko Sasa kama ni kutomber....ner na mengine yanaendelea, shida mtu ana lazimisha kila saa uwaze k, hata demu mwenyewe hawazi ngono muda wote.
Kweli kabisa, kila kitu na mahali pake na huwezi kuwaza ngono muda wote.
Ila hujajibu swali langu.
 
Back
Top Bottom