Lumumba buku 7 kingewekwa kigezo hata cha kuandika repoti tu sijui kama mngepata kazi. Wewe CPA umeijulia wapi?CPA ifutwe kozi ngumu halafu haina maana yoyote .
Sasa kama wewe msukule ni tutor wa CPA hao wanafunzi watakuwaje?.....CPA holder wengi ni watupu kichwani wanachojua nikukariri tu hawana impact yoyote kwa TaifaLumumba buku 7 kingewekwa kigezo hata cha kuandika repoti tu sijui kama mngepata kazi. Wewe CPA umeijulia wapi?
kwani mwenye degree ya uhasibu hawezi kuwa accountant?...mbona wengi wana degree na hawana hiyo CPA ni wahasibu wazuri tuDuh! Mkuu itabidi tufute na shule ya sheria ili kila mwenye degree ya sheria awe wakili automatically...simple tu
Mbna una chuki kubwaa... kutoka kwenye sakafu ya moyo wako?Sasa kama wewe msukule ni tutor wa CPA hao wanafunzi watakuwaje?.....CPA holder wengi ni watupu kichwani wanachojua nikukariri tu hawana impact yoyote kwa Taifa
Taaluma za makondakta wa daladala hizo hazina pressure, ingekuwa ni madaktari na matabibu sawa!!Wakuu,
Inasemekana hadi leo bodi ya Wahasibu na ukaguzi wa mahesabu (NBAA) wameshindwa kutangaza matokeo ya CPA Exams.
Sababu kuu sijafahamu lakini kwa kumbukumbu zangu toka Prof ASSAD ateuliwe kuwa CAG nafasi yake kama NBAA Board Chairman haijajazwa.
Kama board muda wake umeisha na hakuna Chairman wa kuteua nyingine maana yake hakuna wa ku approve matokeo. Kama sababu ni hii bora itafutwe njia ya haraka kuwasaidia wanafunzi kujua matokeo na kujipanga kwa mitihani ya mwezi May 2018.
Kwavile JF ni kisima cha habari pengine tukajua exactly kinachochelewesha matokeo. Kuna wadau wamepewa deadlines vibaruani kuclear CPA toeni matokeo wajue ni mbivu ama mbichi.
Si ateuliwe kichwa Neema Kiure Msusa tusonge ....
1. CPA haina thamani nje ya mipaka ya nchi hii.
2. CPA holders wengi weupe vichwani huko serikalini, mabingwa wa madil.
Ifutwe tu.