mager6 Senior Member Joined Jul 5, 2025 Posts 182 Reaction score 286 Jul 7, 2025 #1 Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema?
Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,409 Jul 7, 2025 #2 mager6 said: Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema? Click to expand... Nasikia wamesema kuwa watwakata wote Kama walivyofanya Bukoba mwaka 2020 kuwakata Wagombea ambao walikuwa na migogoro. So sio makonda wala Gambo ambaye jina litarudi
mager6 said: Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema? Click to expand... Nasikia wamesema kuwa watwakata wote Kama walivyofanya Bukoba mwaka 2020 kuwakata Wagombea ambao walikuwa na migogoro. So sio makonda wala Gambo ambaye jina litarudi
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 11,605 Reaction score 13,531 Jul 7, 2025 #3 mager6 said: Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema? Click to expand... Uchaguzi ukifanyika baada ya reform hakuna cha Gambo wala makonda asema Bwana
mager6 said: Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema? Click to expand... Uchaguzi ukifanyika baada ya reform hakuna cha Gambo wala makonda asema Bwana