..Wataalamu...Wingi wa Umma Ni Nyuma...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Husika na hapo juu.

Mfano:Madame B shemeji tuletee Nyuma Mbili tulie Mayai,Tunaharaka kidogo.

Ukisema Madame B tuletee Umma mbili...
Haileti Maana kabisa.

Wataalamu watatuambia.
 
Husika na hapo juu.

Mfano:Madame B shemeji tuletee Nyuma Mbili tulie Mayai,Tunaharaka kidogo.

Ukisema Madame B tuletee Umma mbili...
Haileti Maana kabisa.

Wataalamu watatuambia.

zubedayo-mchuzi,we una lako! mi sijapata kuskia kiswahili hiki labda cha Kongo!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi najua wingi wa uma ni nyuma,kama ilivyo wingi wa ua kuwa nyua(Ua ambao ni wigo/ua wa nyumba)
 
Back
Top Bottom