wataalamu wetu wa teknolojia ya kompyuta wako wapi?

peter maghiya

New Member
Apr 28, 2011
2
0
majuzi nilisikia habari kutoka bbc idhaa ya kiswahili kuwa kampuni ya kompyuta ya kimarekani IBM ambayo imefungua tawi nchini inataka kusaidia kupunguza foleni jijini dar kwa kutumia teknolojia ya kompyuta,hili swala likanifanya nijiulize wataalamu wetu wako wapi? au tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom