Wataalamu wanashauri sahani iwe hivi, sasa ugali na samaki wa kukaanga wa gengeni vitawezekana kweli?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1565123641990.jpeg

Wataalamu wanashauri 1/2 ya sahani iwe mboga, inaweza kuwa 1/2 mboga za kupika na 1/2 salad kama tango, yanya (kachumbari).

1/4 ya sahani iwe nafaka, ugali, wali, viazi, mihogo au pasta.

1/4 ya sahani iwe kuku, nyama, maini, samaki , maharage au mayai.

Sasa wale wa kupika ugali mboga ni fungi la samaki wa gengeni jiongezeni basi muwe mna nunua na fungu la nyanya na tango.
 
Umekulia hapa hapa Tanzania? Na wazee ni kipato cha kawaida au kati?
Sisi tubadilike sasa hivi, yale mambo ya ugali wa watu wanne unga kilo moja tulikwenda makebichi mawili au mchicha vichanga 10.
 
Mambo hayo labda watu wenye vipato vya kueleweka lakini sisi makapuku acha tukajaze tumbo kwa akina mamantilie ili tusife njaa jambo moja la kushukuru ni kwamba mungu anatuona na anatupenda ndo maana tunaendelea kupumua hadi leo pamoja na kwamba tunakla vyakla visivyokua na tbs
Ninawaza tu hivi mama ntilie unaweza kumwambia apunguze ugali aongeze mchicha uwe nusu sahani!
 
Kwakweli am thankful asee Kuna mijitu kushindilia nyama ndio tafsiri ya chakula Bora, yote haya Ni malezi kuanzia level ya familia, mamangu Ana almost 60 Ila akila nyama kipande kimoja tu na sio Kama Hana uwezo wa kuongeza Ila hataki! Na hakuna utaratibu wa mboga moja, vilaza watasema wakishua lakini Ni mfumo tu mtu ukijiwekea..hua wananishangaa kibaruani sifagilii uroho wa manyama nyama🧐
Tena mboga mboga ni rahisi kuliko nyama, pesa ya nusu kilo ya nyama inaweza kununua kabichi mbili. Ni utamaduni tu kuujenga.
 
View attachment 1174133

Wataalamu wanashauri 1/2 ya sahani iwe mboga, inaweza kuwa 1/2 mboga za kupika na 1/2 salad kama tango, yanya (kachumbari).

1/4 ya sahani iwe nafaka, ugali, wali, viazi, mihogo au pasta.

1/4 ya sahani iwe kuku, nyama, maini, samaki , maharage au mayai.

Sasa wale wa kupika ugali mboga ni fungi la samaki wa gengeni jiongezeni basi muwe mna nunua na fungu la nyanya na tango.
Dada hizi lishe za wataalam wa kisasa zinamaliza mno nguvu za kiume na kuwafanya wanawake washindwe kunukia kike
 
Milo hii mingine, Inaweza kukufanya upate nightmares. Ule sahani ngapi sasa ndio ushibe? Tusitafutiane kuashiakoo ya ukubwa ni bureee
 
Milo hii mingine, Inaweza kukufanya upate nightmares. Ule sahani ngapi sasa ndio ushibe? Tusitafutiane kuashiakoo ya ukubwa ni bureee
Sahani moja tu mkuu lakini kiwango cha mboga za majani kizidi wanga na protini
 
View attachment 1174133

Wataalamu wanashauri 1/2 ya sahani iwe mboga, inaweza kuwa 1/2 mboga za kupika na 1/2 salad kama tango, yanya (kachumbari).

1/4 ya sahani iwe nafaka, ugali, wali, viazi, mihogo au pasta.

1/4 ya sahani iwe kuku, nyama, maini, samaki , maharage au mayai.

Sasa wale wa kupika ugali mboga ni fungi la samaki wa gengeni jiongezeni basi muwe mna nunua na fungu la nyanya na tango.
Mataba ushungi wallah! Me uswahilini huku hata ukiniwekea maji ya kunywa kwenye decorated sahani namna hii basi nakuambia maji yako ni delicious!
 
Huko si ndiyo mgeni akija anachinjiwa kuku amalize!
Ha ha ha hujanielewa I mean ukisikia mtu kala mlo kamili ndo ka hizi mboga mboa salad sijui protin juice pembeni, glas ya maziwa and so on ila ukila miguu ya kuku utumbo wa kuku,vichwa vya kuku na spear nyingine za kuku huku pembeni unagonga nguna ya mtama na unashushia komoni ama chimpumu utaachaje kuambiwa unakula vyakula vya wanga?
 
Back
Top Bottom