Habari wadau wa tech forum naomba maelezo ya namna ya kufunga change over switch via contactor ya three phase nina vyazo viwili tanesco na genset na viunga vipi ktk contact ili iwe ina jiturn on and off auto na je nahitaji contactors ngapi kama kuna mtu mwenye control diagram anaweza ntumia