Wataalamu wa ulinzi naombeni ushauri

Wataalamu wa ulinzi naombeni ushauri

Hapa napoishi tumeingia mkataba na kampuni moja ya kibongo kuhusu suala la ulinzi usiku. Hawa walinzi wanatakiwa kuingia saa kumi na mbili ila wao wanaingia saa yoyote hata saa mbili. Mfano leo hata hajaja na kama hawaji hata hawatoi taarifa hadi upige kwa mwenye kampuni nae anaanza kushangaa afanye mbinu alete mwingine blah blah kibao yaani.

Inaelekea mwenye kampuni hawalipi vizuri kwaiyo wanaacha kazi inabidi abadilishe mara kwa mara.

Hofu yetu ni kwamba kwa wiki eti wanaweza kuja hata watu wanne tofauti tofauti. Sasa sisi hatupendi watu tofauti tofauti waje hapa kwetu maana tunaona kama ni hatari kwetu. Mwenye nyumba ambae ni boss wangu kazini yeye hata hajui hii issue yeye kanikabidhi hapa kila kitu yeye hakai bongo hata kuwalipa nalipa mimi na mkataba nimesaini mimi.

Nimevumilia kumsemea huyu bwana apigwe chini tutafute wengine ila sasa nimechoka naona tu niwe mkweli.

Eti wadau ni sawa walinzi kubadilishwa kila siku jamani?

Walinzi wazuri wanatakiwa waweje ili nikiingia mkataba mpya nitoe hayo masharti maana nimewachoka hawa wananiletea lawama.
mambo mengine ni kushirikisha akili yako, maana huu utoto sasa wee mwenyewe akilini kwako unaonaje??
 
Mbona wakati mnatafuta hiyo kampuni hukuja kutuomba ushauri,ili tukushauri ni kampuni ipi nzuri?
 
Tunajifunza kupitia makosa mkuu, ukimsoma post za nyuma anasema kuna mtu alimshawishi iyo kampuni ya hovyo!
 
Hapo ni suala la mkataba tu na halihitaji utaalam wa ulinzi. Kama walinzi wa kampuni wanafanya kazi bila utaratibu kwa kutokufika kazini kwa wakati maana yake tatizo linaanzia kwenye uongozi wa kampuni yenyewe hivyo ni wazi kwamba kampuni hiyo ni zembe hivyo ni vema ukatafuta kampuni nyingine.
 
kama wewe ndio umeandaa huo mkataba basi uko weak katika ishu hiyo ya uandaaji tafuta anaejua kuandaa mikataba ya namna hiyo

unaweza ukaona nakukejeli ila ngoja likutokee la kutokea ndio utakumbuka
 
Boss Ruge aliahindwa kujibu swali la masudi kipanya

Kwamba CLOUDS ILIPATA WAPI TIP YA KWENDA KUM INTERVIEW YULE MAMA WA RC?
 
Masharti waonesheee vyetiii na kinginee wachapeee kaziii nimesemaaaa wachapee kazi in jpm voice
 
Wachana na wabongo utaumiza kichwa bure, fuga mbwa koko walishe nyama na ugali wa dona, wako vizuri mno, pia fuga batabukini wako vizuri sana.
 
unajua tunawalipa sh ngapi?
Itakuwa cheap tu ndio maana huyo Boss Sao anashindwa kuwalipa salary vizuri.

Chukua kampuni za uhakika kama ultimate security au KK au G4S hakuna mtu kuchelwa kazini Wala kubadilisha walinzi bila sababu maalumu za kiusalama.

Ila ukitaka hizo za kulipa laki 5 ndio hivyo unahaha nao.
 
Back
Top Bottom