mi nnachojua wakisha jenge si kwamba halijai linajaa ila kuna level likifikia linakuwa haliwezi kujaa zaid maji yananyonywa kwa kama chem chem ya kawaidaYanaongezaka mkuu, tena kwa kwa kasi kweli. Wiki 2 nusu, mwezi lina jaaa sasa
Kwanza mshukuru Mungu kwa kuishi sehemu ambayo ina maji ya kutosha. Chimba kusimahapo pembeni utatumia maji ya bure kizazi na kizazi.Habari wa taalamu, mwenye ujuzi na hii issue, na shimo la choo limejaa nusu(maji) ndani ya wiki 2.
Inaoneka maji yana panda chini na pia haya nyonywi chini.
Mwenye kujua chakufanya tafadhali.
Hapo tatzo ni kwamba mjenzi alilazmsha au Cjui mlilazmisha kujenga shmo kwenye chem chem bila kuzuia chem kupenya ndan Ya shmo na hili nafkr ni tatzo la fund kwahyo uktaka kurekebsha hyo hal shart utoe uchafu wote ndan ya shmo tuanze kudhbt chemchem na water proof zaid ya hapo hamna Suluhsho zaid ya kupgw salio tu mkuu
Zinadhibitiwa ki vipi mkuu, hebu nipe elimu kidogoHapo tatzo ni kwamba mjenzi alilazmsha au Cjui mlilazmisha kujenga shmo kwenye chem chem bila kuzuia chem kupenya ndan Ya shmo na hili nafkr ni tatzo la fund kwahyo uktaka kurekebsha hyo hal shart utoe uchafu wote ndan ya shmo tuanze kudhbt chemchem na water proof zaid ya hapo hamna Suluhsho zaid ya kupgw salio tu..
Wazo zuri ila inaweza kuwa gharama sana pia hizi public sewage sidhani kama ziko sehemu zote dsm. Location yangu ni Goba njia 4Water table iko juu sana... Suluhu ni kuwa na system ya kunyonya malighafi na gari au kuunga na public sewer..
picha ya eneo la nje la ya hilo septick tankMkuu picha nitawekaje ya ndani na kuna giza ila nimepima limebaki futi 6.5 kati ya futi 12
Hayo maji yanayojaza shimo la choo yanatoka wapi? Mfumo wa maji taka ni wa mashimo mawili au shimo moja? Asili ya eneo ulilojenga makazi yako ni chemichemi au likoje? Matumizi ya maji hapo kwako yakoje mkuuMkuu picha nitawekaje ya ndani na kuna giza ila nimepima limebaki futi 6.5 kati ya futi 12
Kwa makaridio ya juu nimehamia tarehe 5 mwezi huu, nimetumia maji maximum lita elfu 2 japo kwa yalio ingia chooni kama lita 1500, mfumo ni shimo moja, eneo la hapa kulingana na jirani yangu alipima water table iko mita kama 130, hakuna asili ya chemichemi. Ni Goba njia 4 unaweza jua zaidi tatizo la maji goba.Hayo maji yanayojaza shimo la choo yanatoka wapi? Mfumo wa maji taka ni wa mashimo mawili au shimo moja? Asili ya eneo ulilojenga makazi yako ni chemichemi au likoje? Matumizi ya maji hapo kwako yakoje mkuu