Wataalamu wa uchumi naombeni mnisaidie

Maziku-Winston Smith

JF-Expert Member
May 17, 2015
296
167
Kulingana na matatizo ya kiuchumi yanayotukabili kama taifa ikiwemo kiwango duni cha sayansi na teknolojia, uhaba wa miundombinu bora ya maji safi na maji taka, shule duni za serikali.

Je nini kianze kufanyika ili kuweza kuweka msingi imara wa kuondokana na umasikini huu?
 
Back
Top Bottom