Wataalamu wa simu za android clone

Wataalamu wa simu za android clone

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
Dogo kaja na simu yake Galaxy s4 inajirestart kila muda mpaka itakapoisha chaji izimike. mie kwa haraka haraka nikaona hapa naiwekea firmware mpya maana factory reset haijasaidia kitu,
hapo ndio shida ilipoanzia, kabla sijaanza kudownload android 4.4.2 kitkat nikaona kwanza niikague nikaiconnect kwenye pc iliupoanza kuinstall drivers nikaona kitu kama MT-ngapingapi drivers installing nikashtuka ikabidi niinstall aNTutu benchmark test nikagundua kwanza sio original ni clone baada ya kuona ina kitu cha mediatek, sasa hapo ikabidi niwe mpole nikaone nije jukwaani mnipe usaidizi wa maswali yangu yafuatayo

1. kwa case ya simu ya android kujirestart kila mara possible cause and solution ni nini?
2. kama nataka kuweka firmware mpya, napata wapi au zilezile za samsung zinakubali?

waione chief-mkwawa njunwa wamavoko snipa na wengine wote wenye ujuzi wa hizi simu
 
Last edited by a moderator:

Tatizo hili binafsi sikutegemea kulikuta kwenye hizi Clone !

Ila inawezekana lilianzia kipindi anatumia simu huku ana i charge ! Sana sana ni Joto ! na apps

jaribu kuiboot katika safe mode na uache kwa muda uone kama ita ji restart tena !

Isipo restart basi Tatizo laweza kuwa ni apps hasa third part apps !

Iki Restart Kuna mawili tena ! Battery au Hardware yenyewe

2. kama nataka kuweka firmware mpya, napata wapi au zilezile za samsung zinakubali?

ROM DOWLOADS | CHINA SMARTPHONE REVIEW

waione chief-mkwawa njunwa wamavoko snipa na wengine wote wenye ujuzi wa hizi simu
 
Last edited by a moderator:
snipa tatizo ukifanya recovery mode au download mode menu ni chinese kila kitu mie kichina chali,
 
Last edited by a moderator:
kaka c6 simu za kichina zinawekwa firmware kutokana na chip inayotumika, mfano simu yako ni phantom a+ na inachip mediatek 6755h basi inaingiliana rom na simu zoteeee zenye mediatek 6755 hivyo kwanza anza na cpu z idownload halafu cheki specs usome aina ya chip ya mediatek iliotumika halafu tukishaijua tutaanzia hapo
 
thanks chief, ngoja niinstall then ntaleta feedback
 
Nahitaji kujua na mimi S4 original ntaitambuaje wadau ili nisikamatishwe
 
Nenda tu Settings>>>>Security>>>>SIM Change Alert

Kama hautokuta sim change alert ujue hiyo sio simu ya samsung
La hasha ukiikuta sogea ndani uone kama kuna sehemu ya kujaza "Samsung account" kama ipo basi jua you are 100% confident kwamba ni original phone...
Hiyo ni siplest test ambayo kila Layman anaweza kuielewa
 
Aksante mkuu
 
Dogo kaja na simu yake Galaxy s4 inajirestart kila muda mpaka itakapoisha chaji izimike. mie kwa haraka haraka nikaona hapa naiwekea firmware mpya maana factory reset haijasaidia kitu,
hapo ndio shida ilipoanzia, kabla sijaanza kudownload android 4.4.2 kitkat nikaona kwanza niikague nikaiconnect kwenye pc iliupoanza kuinstall drivers nikaona kitu kama MT-ngapingapi drivers installing nikashtuka ikabidi niinstall aNTutu benchmark test nikagundua kwanza sio original ni clone baada ya kuona ina kitu cha mediatek, sasa hapo ikabidi niwe mpole nikaone nije jukwaani mnipe usaidizi wa maswali yangu yafuatayo

1. kwa case ya simu ya android kujirestart kila mara possible cause and solution ni nini?
2. kama nataka kuweka firmware mpya, napata wapi au zilezile za samsung zinakubali?

waione chief-mkwawa njunwa wamavoko snipa na wengine wote wenye ujuzi wa hizi simu

Ili kuingiza custom rom lazima kuwe na CWM ama rcovery tool yoyote ile. Ila nimewahi kuishika hiyo galaxy clone na nikagundua Tecno is much better. Why? Because S4 clone does not have HBoot installed, something that prevents devs from installing custom Roms.

Try pressing and hold the combination of these keys (vol(+)>home>power) to see if there is a HBoot.

That's all i know........😕:what:😀
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom