Smart pia zina LED.Mkuu yangu ni Smart. Not LED
Mkuu, nimejaribu kuiweka mbali kidogo na sub woofer ikawa clear.Smart pia zina led,
Samsung ni wazuri kwenye simu tu, huko kwenye Tv/music/friji ni hakuna kitu mzee baba.Next time ukienda kununua Tv chukua LG mkuu. Ninayo smart ya inch 55 mwaka wa tatu sasa na bado haina shida.
onduru ogy, Mkuu kama kioo kina shida hiyo mistari si isingeondoka kabisa?
Kwa sababu nikiicha On kwa muda mrefu kidogo bila kuunganisha na king'amuzi inakuwa very clear,
Hili tatizo limewahi kujitokeza siku za nyuma then likaisha lenyewe ila sasa hivi nashangaa haliishi.