Samsung iko vizuri sana mkuu. Hilo tatizo tuAisee nilikuwa na mpango wa kuchukua Samsung,
Kumbe mambo yenyewe ndio haya.
Inawekwa wapi?
Hiyo ndio tiba mbadala ukiizima tu inarudi kule kule. Wakati unatafuta suluhisho usizime kny socket ya umeme. Ya kwangu ina tatizo la kupiga mstari katikati. Nikizima ukutani ndio inakuwa kama yako.chizcom,
Duh. jana usiku niliamua kuiacha on, asubuhi nikaikuta very clear. Nilivyozima na kuwasha ikarudia kwenye tatizo.
Ni kioo hicho kishaenda Mimi ni fundiSio kioo we peleka kwa fundi mtaalamu. Maana humu kuna watakaokuambia ni TV card kumbe pia sio
Unauzaje?Ni kioo hicho kishaenda Mimi ni fundi
Kivipi mkuu sijaelewaMdomo bakuli,
LG yangu imewasha matochi
Sub woofer iko chini mkuu.Tv yako ipo karibu na subwoofer? Km ni ndio hilo tatizo ni sabb ya mvutano wa sumaku zake huharibu kioo.. hapo haiwez rudi kawaida lbd ubadili kioo iliwah kujitokeza kwang pia na sio kwa samsung tu, kusipokuwa na barrier kati ya subwoofer na tv hutokea ivo
Nitakupigia mkuu
Ngoja baadae nitajaribu kuweka mbali zaidi.Tv yako ipo karibu na subwoofer? Kama ni ndio, hilo tatizo ni sababu ya mvutano wa sumaku zake huharibu kioo. Hapo haiwezi rudi kawaida labda ubadili kioo iliwahi kujitokeza kwangu pia na sio kwa Samsung tu, kusipokuwa na barrier kati ya subwoofer na Tv hutokea hivyo.
Mimi mwenyewe nimeweka karibu na Subwoofer natumia TCL Smart ni mwaka wa 3 huu, So inaweza kuleta shida baadaye!!Tv yako ipo karibu na subwoofer? Kama ni ndio, hilo tatizo ni sababu ya mvutano wa sumaku zake huharibu kioo. Hapo haiwezi rudi kawaida labda ubadili kioo iliwahi kujitokeza kwangu pia na sio kwa Samsung tu, kusipokuwa na barrier kati ya subwoofer na Tv hutokea hivyo.