Wataalamu wa programming wenye ujuzi wa Artificial Intelligence

David Allene

Member
Jan 7, 2016
50
58
Hello guys, habari za Jumapili! nitaomba kujuzwa kwa hapa Tanzania kampuni gani ya App designing n development wenye uwezo mzuri wa ku integrate Artificial intelligence kwenye application? Nimekua niki develop fintech application moja hapa ila ninahitaji wataalamu ili kufanya hii integration. Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Artificial inteligence kwenye vitu gani.
Text Recognition (OCR)?
Speech to Text?
Text to Speech?
Face Detection?
Bar Code Scanning?
Android of things (Rasberry Pi & nxp i.mx7d)?
kutumia NFC (Kkutengeneza card less transaction)?
nk.
Nashukuru ic, nina develop fintech app n nahitaji kutumia AI kwenye baadhi ya security features za app, pia kwenye baadhi ya features za app mfano ku automate transactions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru ic, nina develop fintech app n nahitaji kutumia AI kwenye baadhi ya security features za app, pia kwenye baadhi ya features za app mfano ku automate transactions

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye security unaweza kutumia fingerprint ya android class za kuaccess fingerprint authantication ni 'BiometricManager' na 'BiometricPrompt'
Cheki hii link ya chini kuna jinsi ya ku-integrate fingerprint kwenye gradle.build na app yako kiujumla.
Show a biometric authentication dialog | Android Developers
 
nimesoma but ukiacha hizo sehem nyingine hapo kwenye issue ya security vipi mfano nikitaka ku encrypt zile codes tangu hatua za mwanzo kbs za development ya app? lakini pia issue ya fingerprint ni security inaelinda account ya user vipi security inaelinda app dhidi ya hackers? Una wataalam wa hii kitu unaewajua? Coz mie hii sio taaluma yangu kabisa ic

Kama swala ni kuencrypt tumia class ya Security kutoka kwenye package ya java.security, wekeza muda maana kuna classes nyingi.
Angalia huu hapa mfano wa ki-encrypt password.
Encrypt User Password Example in Java - Apps Developer Blog
 
Nashukuru ic, nina develop fintech app n nahitaji kutumia AI kwenye baadhi ya security features za app, pia kwenye baadhi ya features za app mfano ku automate transactions

Sent using Jamii Forums mobile app

Everything you have mentioned here huitaji AI. AI is powerful if used right, and in this case it's neither right nor useful.

Kuna fintech apps that use AI to improve security but they only do so after learning your(along with all other users) purchase patterns, purchase history, location etc, and may ask you to confirm unusual transaction before going through but it's not something you can bake into an application from the get go.

I think when you need AI you'll know, and you'll have the data to no exactly what you need to do with it.
 
samawanini kidogo inamaana matumz ya gb whatsap kwa samsung kuanzia note4 to 10 na s5 to 20 yanefikia mwishooo!!@@??
 
Everything you have mentioned here huitaji AI. AI is powerful if used right, and in this case it's neither right nor useful.

Kuna fintech apps that use AI to improve security but they only do so after learning your(along with all other users) purchase patterns, purchase history, location etc, and may ask you to confirm unusual transaction before going through but it's not something you can bake into an application from the get go.

I think when you need AI you'll know, and you'll have the data to no exactly what you need to do with it.
Well, the features I listed earlier are just few. The app has got some more other features that require the application of AI. This's a public platform I just can't put all features in here. I requested an expert in AI so we can talk privately

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, the features I listed earlier are just few. The app has got some more other features that require the application of AI. This's a public platform I just can't put all features in here. I requested an expert in AI so we can talk privately

Sent using Jamii Forums mobile app

And I answered you based on the information you provided, everything you have mentioned has nothing to do with AI, it's computer security, and cryptography on your encryption query

If you have to ask on integrating AI then you don't need AI.
 
okay, so is biometric(iris scanner, fingerprint scanner etc) not AI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom