Kwa kfano isp wangu kaleta fiber ofisini na ISP uyo uyo anajiusha na maswala ya mobile network so kwa mana hiyo nitakua natumia ISP 1 but ofisn fiber na Om kwa njia ya modem kwa IP address ya ofisini pamoja na DNS ile akuna njia ya namna hiyoSidhani kama inawezekana as long as upo mbali na radio za network , hiyo ni ngumu mkuu kwa sababu network extension haijafika mpaka kwako.
Kwa kfano isp wangu kaleta fiber ofisini na ISP uyo uyo anajiusha na maswala ya mobile network so kwa mana hiyo nitakua natumia ISP 1 but ofisn fiber na Om kwa njia ya modem kwa IP address ya ofisini pamoja na DNS ile akuna njia ya namna hiyo
Hii inahitaji kubypass network ya mtandao ili iweze kutumika free sana sana ISP awe na "bug host" hapo inawezekana na hiyo server iwe na ssh server vinginevyo ili kuunganisha na hiyo internet ya office basi itampasa alipie bando za kawaida ikiisha na connection ya ssh inakata wakati huyu mtoa mada anahitaji free kabisa.Inawezekana ndugu, kuna protocols kama SSH(secure shell) au hata telnet. Ambazo hutumika kwa remote access.
hujaaandika vizuri tu, ni kitu kinawezekana kabisa. kuna kitu kinaittwa Virtual Private Network (VPN) unaweza implement its not that hard to do japo tafuta watalaam.Habari nina idea ya network japo si kwa sana swali ni kwamba nawezaje tumia internet ya ofisini kwangu ata nikiwa mbali na ofisi ikiwa details muimu zote muimu ya network yangu nazijua kuanzia my IP address niliyopewa na ISP wangu na DNS zile.mana kazi zangu Mara nyingi zategemea internet na najikuta nakaa sana ofisini muda mwingine adi sa 5 usiku ama nikitoka inanilazimu nijiunge na vifulushi vya internet tena ili nifanyie nyumbani. Asanteni muongozo katika hilo
kwenye server za offisi zenu zinatumia linux ambazo zina proxy server ya squid server? na ni kampuni gani ambayo mnatumia?Asanteni kwa wote mliochangia kwa ujumla nimejifunza mengi kwa mawazo yenu ila lengo langu haswa lilikuwa ni kutumia internet ambayo tunailipia ofisini nikiwa mbal na ofisini lengo n kupunguza gharama
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Kama ni windowa server sina uzoefu, ungekuwa Linux kuna source code ninazo ningecompile na kukuelekeza kukonfig proxy ya squid na baadae kwenye comp yako kwa kutumia modem ya baadhi ya mitandao ungeweza kutumia free.Ni windows server tu mkuu R2 2008 na kampuni tunayotumia kivipi mkuu ama una maana ya ISP ila kama ni ISP ni ttcl
Kwenye iliswala la dish ya 20km nilikuwa nataka shule kidogo hapoKama nyumbani umeonganishwa na network ileile ya ofisini unaweza tumia ujanja, ni illegal lakini.
Ujanja wenyewe unahitaji uwe technical kidogo, inabidi kama ni router basi uhakikishe identity yako inakua sawa na ya ofisini kila kitu kuanzia MAC address ya router yako nyumbani hadi account details zote. Ukifanya hivyo ISP ana-identify network yako nyumbani kama ile ya ofisini, ni vigumu sana kushtukia hili swala.
Njia nyingine ambayo inawezekana ni kununua dish linaloweza rusha wireless umbali mrefu, ni chini ya $200, kuna dish dogo tu linaweza rusha hadi 20km, unafunga ofisini, alafu unafunga receiver nyumbani, unakula internet kama kawaida tena up to 100MBPs. Sasa kama upo zaidi ya 20km from your office basi hili nalo tatizo.