Yaani raha ya krav maga ni kwamba, LENGGO NI KUWA SALAMA, NA SIYO KUONESHA UNA UNA UWEZO KIASI GANI WA KUPIGANA. yaani siyo unapigana kuonesha unajua ngumi..Kule Ni mtiti mtiti..ukishika pen hiyo Ni silaha, ukimng'ata sikio poa tuHapa sasa ndo penye self defence ya kibabe na show zote za mtaani
Hahahahahaha sio poa hii lkn ata karate tamu kibaka harudii tenaYaani raha ya krav maga ni kwamba, LENGGO NI KUWA SALAMA, NA SIYO KUONESHA UNA UNA UWEZO KIASI GANI WA KUPIGANA. yaani siyo unapigana kuonesha unajua ngumi..Kule Ni mtiti mtiti..ukishika pen hiyo Ni silaha, ukimng'ata sikio poa tu
swali aliloliuliza hata mimi nilikuwa naliwaza kichwani kwangu na nimemuelewa vizuri.Mkuu haya mafunzo ni kama course kamili na ina kanuni zake.
Kwa story za vijiweni ukiwa umepitia huku inatakiwa hutakiwi kuonyesha kwa mazingira yeyote yale kama umepita huko.
Turudi kwenye swali lako.
Unataka kujifunza aina fulani vingine uache au unataka kufahamu tu?
Naaam. Hapo mu Israel kafanya kitu kimoja kikubwa Sana. Japo nina wasiwasi kidogo hapa kwetu kutakuwa na experts wa hii Sanaa?Achana na karate sijui Kung Fu...kacheze krav maga
Tatizo Sanaa hii upate aliyeilewa vizuri wengi wanadanganyana sana kuna baadhi ya wana huwa wanatoka N.S ile miezi mi tatu tena ya mujibu wakifika street eti nao wanajikuta ma instructor aisee..! Kwa basics za misimamo na baadhi ya combination.Combat karate Ndio mpango mzima
Asante mzeeswali aliloliuliza hata mimi nilikuwa naliwaza kichwani kwangu na nimemuelewa vizuri.
Anamaanisha hivi katika staili zote za karate/kun fu/taekwondo ni staili gani ambayo iko the best kuliko zote ambayo mtu akiichagua na kujifunza atakuwa na uhakika wa asilimia zote za kutopigwa au kutodhuriwa na vibaka au kutokuwa mnyonge na kutoteswa/kutoonewa na mtu yeyote
Boxing ni martial arts nzuri lakini napendelea zaidi inayohusisha na matekeShotokan ipo ndani ya karate.
Ni mchezo mzuri sababu haukufanyi uwe wa tofauti sana kimaumbile.
Binafsi naona BOXING ni ishu nyingine, jifunze boxing mkuu.
Embu nenda Youtube katazame video ya Mike Tyson na Doni Yen( sina uhakika na spelling).
Ndo ipojeCombat karate Ndio mpango mzima
Umenichekesha sana mzeeSwali lako:MMA ni best.
Swali langu:hivi kuna style ya kupigana ambayo naweza kujifunza bila mazoez makali ya mwili kama pushaps na squats??Yani mi naenda kujifunza kupiga na kudefend tu.
MMA anampiga kila mtu hadi Navy SEAL.Umenichekesha sana mzee
Sasa apo swali lako sidhani kama kuna mchezo wa ivo lzm uwe ngangali ili ukiattack na kujidefend ziwe effective
Afu MMA ndo naiskia leo
Unataka kifaulu necta lakini hutaki kusoma. HahahahaSwali lako:MMA ni best.
Swali langu:hivi kuna style ya kupigana ambayo naweza kujifunza bila mazoez makali ya mwili kama pushaps na squats??Yani mi naenda kujifunza kupiga na kudefend tu.
MMA si ni mamielekaMMA anampiga kila mtu hadi Navy SEAL.
kwahyo hata zile calm martial arts kama Tai Chi na zenyewe zinataka mazoez makali?
Boxing nzuri lkn karate anakuwa mtata kote ata mateke ndo nachoipendeanenda kajifunze kupiga ndonga a.k.a bondia
achana na ma michezo mengine hayoo mpaka ujikunje kuuuunjeee
Ndonga ukiwa serious muda mfupi tuu wajinga wajinga unawakalishaaa
Krav maga ... Embu chimbuko lake wapiHapa sasa ndo penye self defence ya kibabe na show zote za mtaani