Wataalamu wa martial arts specifically karate

Yaani raha ya krav maga ni kwamba, LENGGO NI KUWA SALAMA, NA SIYO KUONESHA UNA UNA UWEZO KIASI GANI WA KUPIGANA. yaani siyo unapigana kuonesha unajua ngumi..Kule Ni mtiti mtiti..ukishika pen hiyo Ni silaha, ukimng'ata sikio poa tu
Hahahahahaha sio poa hii lkn ata karate tamu kibaka harudii tena
 
Mkuu haya mafunzo ni kama course kamili na ina kanuni zake.

Kwa story za vijiweni ukiwa umepitia huku inatakiwa hutakiwi kuonyesha kwa mazingira yeyote yale kama umepita huko.

Turudi kwenye swali lako.

Unataka kujifunza aina fulani vingine uache au unataka kufahamu tu?
swali aliloliuliza hata mimi nilikuwa naliwaza kichwani kwangu na nimemuelewa vizuri.
Anamaanisha hivi katika staili zote za karate/kun fu/taekwondo ni staili gani ambayo iko the best kuliko zote ambayo mtu akiichagua na kujifunza atakuwa na uhakika wa asilimia zote za kutopigwa au kutodhuriwa na vibaka au kutokuwa mnyonge na kutoteswa/kutoonewa na mtu yeyote
 
Shotokan ipo ndani ya karate.

Ni mchezo mzuri sababu haukufanyi uwe wa tofauti sana kimaumbile.

Binafsi naona BOXING ni ishu nyingine, jifunze boxing mkuu.

Embu nenda Youtube katazame video ya Mike Tyson na Doni Yen( sina uhakika na spelling).
 
Combat karate Ndio mpango mzima
Tatizo Sanaa hii upate aliyeilewa vizuri wengi wanadanganyana sana kuna baadhi ya wana huwa wanatoka N.S ile miezi mi tatu tena ya mujibu wakifika street eti nao wanajikuta ma instructor aisee..! Kwa basics za misimamo na baadhi ya combination.
 
swali aliloliuliza hata mimi nilikuwa naliwaza kichwani kwangu na nimemuelewa vizuri.
Anamaanisha hivi katika staili zote za karate/kun fu/taekwondo ni staili gani ambayo iko the best kuliko zote ambayo mtu akiichagua na kujifunza atakuwa na uhakika wa asilimia zote za kutopigwa au kutodhuriwa na vibaka au kutokuwa mnyonge na kutoteswa/kutoonewa na mtu yeyote
Asante mzee
 
Shotokan ipo ndani ya karate.

Ni mchezo mzuri sababu haukufanyi uwe wa tofauti sana kimaumbile.

Binafsi naona BOXING ni ishu nyingine, jifunze boxing mkuu.

Embu nenda Youtube katazame video ya Mike Tyson na Doni Yen( sina uhakika na spelling).
Boxing ni martial arts nzuri lakini napendelea zaidi inayohusisha na mateke

Afu kwy iyo doni yen vs Tyson zile movies tu ....hahahahah Tyson anapasuka vizuri tu
 
Swali lako:MMA ni best.

Swali langu:hivi kuna style ya kupigana ambayo naweza kujifunza bila mazoez makali ya mwili kama pushaps na squats??Yani mi naenda kujifunza kupiga na kudefend tu.
 
Swali lako:MMA ni best.

Swali langu:hivi kuna style ya kupigana ambayo naweza kujifunza bila mazoez makali ya mwili kama pushaps na squats??Yani mi naenda kujifunza kupiga na kudefend tu.
Umenichekesha sana mzee

Sasa apo swali lako sidhani kama kuna mchezo wa ivo lzm uwe ngangali ili ukiattack na kujidefend ziwe effective

Afu MMA ndo naiskia leo
 
Umenichekesha sana mzee

Sasa apo swali lako sidhani kama kuna mchezo wa ivo lzm uwe ngangali ili ukiattack na kujidefend ziwe effective

Afu MMA ndo naiskia leo
MMA anampiga kila mtu hadi Navy SEAL.

kwahyo hata zile calm martial arts kama Tai Chi na zenyewe zinataka mazoez makali?
 
nenda kajifunze kupiga ndonga a.k.a bondia
achana na ma michezo mengine hayoo mpaka ujikunje kuuuunjeee
Ndonga ukiwa serious muda mfupi tuu wajinga wajinga unawakalishaaa
 
nenda kajifunze kupiga ndonga a.k.a bondia
achana na ma michezo mengine hayoo mpaka ujikunje kuuuunjeee
Ndonga ukiwa serious muda mfupi tuu wajinga wajinga unawakalishaaa
Boxing nzuri lkn karate anakuwa mtata kote ata mateke ndo nachoipendea
 
Ingawa mimi najifunza Wing Chung/Jeet Kune Do.ila nakushauri jifunze kick boxing,achana na michezo mingine inambwembwe nyingi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom