Wataalamu wa mambo ya android nisaidieni

Wataalamu wa mambo ya android nisaidieni

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,050
Reaction score
1,359
Nina simu Samsung galaxy SIII Mini (clone)

Simu hii ina tatizo moja haishiki 3G sijui tatizi ni nini!!

Kwa kifupi mfumo wa utengenezwaji wake uko hivi

Model Number
GT-18190

Baseband
18190XXAMA2

Kernel Version
3.0.31-809600
dpi@Dell171#2
SMP PREEMPT
Web jan 9 16:20:48 KST 2013

Build number
JZO54k.18190XXAMA2

Custom build version
V2G.13.10.28

sasa wana Android ebu nisaidieni katika hili tatizo ni nini na nifanye nini niweze pata 3G

Natanguliza shukurani za dhati kabisa kwenu wote mtakaoshiriki kutatua tatizo ili.
 
jambo la kwanza unauhakika location uliyopo kuna 3G?? nadhani unajua kua sio kila sehemu tanzania kuna 3G coverage, soma places hamna, kama u r sure kuna 3G basi ningekushauri uangalie kwenye settings za network kuna some smartphones zina sehemu ya kuchagua GSM peke yake au kuswitch into High speed simu nyingine wanaandika 3G/WCDMA/HSPA/HSDPA au choice ya kutumia both kwa wakati moja
 
Hii simu nimeona specs zake wameandika tu GSM/HSPA japo sikuona sasa frequency bands zake kujua kama inasupport bongo au la, la kwanza unauhakika location uliyopo kuna 3G?? nadhani unajua kua sio kila sehemu tanzania kuna 3G coverage, soma places hamna, kama u r sure kuna 3G basi ningekushauri uangalie kwenye settings za network kuna some smartphones zina sehemu ya kuchagua GSM peke yake au kuswitch into High speed simu nyingine wanaandika 3G/WCDMA/HSPA/HSDPA au choice ya kutumia both kwa wakati moja

Mkuu sehemu niliyopo huduma ya 3G ipo na ndiyo maana nikaomba msaada baada ya kuona simu yangu haipati huduma hiyo huku simu zingine zinakamua kama kawaida, Kuna setting nimejaribu lakini inakataa

Kuna sehemu ya kuset
1.GSM/CDMA auto
2.CDMA only
3.GSM only

ukiweka namba moja inakataa na kujipeleka namba 3
 
Hiyo sehemu unayoongelea wewe lazima iwe namba 3 sababu GSM na CDMA ni system mbili tofauti kabisa.. Tanzania mitandao yote nadhani except TTCL wanatumia GSM. Kama hamna sehemu ya settings nyingine am starting to guess simu yako haina option ya 3G... Kwa waliotumia hiyo simu em ngoja waje, smartphone kutokua na 3G kitu kigumu sana.
 
poa mkuu, kwa sababu simu hii haina sehemu ya kuseti ya 2g au 3g
 
Attachments

  • Screenshot_2015-01-06-20-09-30.png
    Screenshot_2015-01-06-20-09-30.png
    11.8 KB · Views: 169
mfano wa picha mkuu

Mkuu umeleta picha sasa ndo tumeelewana.. mara ya kwanza ulivoandika CDMA sio WCDMA.. CDMA na GSM ni 2G networks so haziwezi kaa pamoja... ila hiyo yako ina WCDMA ambayo ni 3G technology hiyo inaweza tumika pamoja na GSM... Hiyo simu inauwezo wa kuwa na 3G... inachotakiwa kua ni kwenye either one au two kama unataka 3G... umetiki GSM only ndio maana unapata 2G peke yake, inatakiwa uchague option ya kati ya kwanza au ya pili zote zitakupa 3G connection
 
Sasa kwa kua umesema ukiclick ya kwanza inajirudisha tatu moja kwa moja, fanya hivi, change APN kwenye simu yako, sehemu ya settings tafuta Access point, weka APN name : Internet, vitu vingine acha usijaze. Zima simu, washa, then rudi kwenye hiyo option uchague option ya kwanza GSM/WCDMA haitojirudisha tena option 3 automatic.
 
Mkuu umeleta picha sasa ndo tumeelewana.. mara ya kwanza ulivoandika CDMA sio WCDMA.. CDMA na GSM ni 2G networks so haziwezi kaa pamoja... ila hiyo yako ina WCDMA ambayo ni 3G technology hiyo inaweza tumika pamoja na GSM... Hiyo simu inauwezo wa kuwa na 3G... inachotakiwa kua ni kwenye either one au two kama unataka 3G... umetiki GSM only ndio maana unapata 2G peke yake, inatakiwa uchague option ya kati ya kwanza au ya pili zote zitakupa 3G connection

Mkuu tatizo liko hapo yani ukitick kwenye moja au mbili unakataa inajipeleka namba tatu,
 
Chini kabisa bofya reset ili kureset configuration za net kisha anza upya kwa kujaza neno internet kwenye APN
 
Niliwai kuwa na simu kama hiyo pia ilikuwa na tatizo hilohilo niliangaika sana mwisho nikawasiliana na watu wa Voda wakaniambia niwasomee IMEI za cm nikawapa halafu wakaniambia hiyo cm haiwezi soma 3G.
 
Mkuu sehemu niliyopo huduma ya 3G ipo na ndiyo maana nikaomba msaada baada ya kuona simu yangu haipati huduma hiyo huku simu zingine zinakamua kama kawaida, Kuna setting nimejaribu lakini inakataa

Kuna sehemu ya kuset
1.GSM/CDMA auto
2.CDMA only
3.GSM only

ukiweka namba moja inakataa na kujipeleka namba 3

haina 3g usihangaike

cdma=2g
gsm=2g

inauwezo wa kutumia tech ya gsm pamoja na cdma ila haina 3g. ingekuwa na umts/wcdma/evdo/hspa hizi ndio 3g
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom