Wataalamu wa madini msaada

Wataalamu wa madini msaada

MSABATO12

Member
Joined
Aug 10, 2021
Posts
27
Reaction score
25
Habarini wadau. Kwa mwenye ujuzi na madini haswa laboratory results. Matokea mazuri kwa upande wa copper huwani kuanzia % ngapi . Namaanisha results ambayo inaonyesha copper ina kiwango na inafaa kwa kuuzwa na pia bei ya ton 1 copper ni bei gani??.
 
Wasabato wapi na wapi kwenye madini?
 
Toa hela hakuna ushauri wa bure ambao wewe unaenda kunufaika....heshimuni taalama za watu unless aje msomi mjinga asiyejua umuhimu wa kupoteza ada yake chuoni akupe hizo hints bure.
Taaluma ya mtu utaijuaje humu bila kchangia kwenye ishu km hii. Sikujua km hadi humu kuna watu viazi km facebook.
 
Habarini wadau. Kwa mwenye ujuzi na madini haswa laboratory results. Matokea mazuri kwa upande wa copper huwani kuanzia % ngapi . Namaanisha results ambayo inaonyesha copper ina kiwango na inafaa kwa kuuzwa na pia bei ya ton 1 copper ni bei gani??.
Google
 
Back
Top Bottom