Pia app za biashara, ziwe simple kuzitumia yani hata kama mtu hashindi ofisini lakini awe anapata dataMkuu jikite zaidi kwenye apps zitakazowasaidia walemavu kutatua changamoto zao za kielimu hasa walemavu wa macho.
Pia iwe inakeep weekly na monthly report, na iwe simple isiwe nguumu kivile kwasababu watu wengi hawako vizuri kwenye mambo hayaDadavua kidogo mkuu ,data ziwe zinaingizwa na muuzaji na mwenye biashara apate report?
Naomba kujua kama unajua gates mfano paypal inayotumika na charity organisations Tanzania kwa ajili ya donation online kwa kutumia credit card.paypal Tanzania inasema ni sender only na sio receiverWakuu Mimi ni mtaalamu wa designing Website/application na Database so kwa yeyote mwenye wazo ambalo anataka kuliweka kwenye application au system ili kuyafanya maisha yawe mepesi karibu ,anipe ili nifanyie kazi.Sio mbaya unaweza kuja inbox pia .
Pia iwe inakeep weekly na monthly report, na iwe simple isiwe nguumu kivile kwasababu watu wengi hawako vizuri kwenye mambo haya
Pia iwe rahisi mtu kupata total, alarm kama bidhaa zimepungua, iwe inatia graphical presentation ya jinsi biashara yako ilivyo kama imepanda au imeshuka. N k
Hiyo ipo kuna MTU nilimtengenezea wanaitumia vizuri,pia inahifadhi mauzo ya kila siku ni lazima muuzaji aingizePia iwe inakeep weekly na monthly report, na iwe simple isiwe nguumu kivile kwasababu watu wengi hawako vizuri kwenye mambo haya
Pia iwe rahisi mtu kupata total, alarm kama bidhaa zimepungua, iwe inatia graphical presentation ya jinsi biashara yako ilivyo kama imepanda au imeshuka. N k