ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,378
habari za majukumu wapendwa! kama nitakuwa nimekosea jukwaa basi niwatake radhi kwanza.
ila kama ni sahihi basi niendelee na swala langu hili hapa chini.
neno "TOKA NJE au TOKA NDANI" huwa linatajwa mda upi?
pale mhusika akiwa ndani basi huna budi kumwambia atoke ndani au atoke nje ili akuone wewe ulieko nje ukimsubiria?
neno TOKA sehemu zingine linaeleweka pindi likitumika na watu
mfano mtu amekaa chini alafu mwenzie akaona mdudu awe nyoka au ng'e ili mdudu huyo asimuume utamwambia yule alie kaa chini kuwa TOKA HAPO " (yaani alipokaa chini).
lakini hapa TOKA NJE AU TOKA NDANI ndio huwa sielewi linatumikaje na linadefine veepi ukilitamka.
nipo ndani ya nyumba ila mgeni akija utasikia TOKA NJE nawakati mda huo nipo ndani si inabidi niambiwe TOKA NDANI kuna mgeni huku!!
ila wengi wanatumia neno TOKA NJE wakati mhusika yupo ndani.
naomba wataalamu wa lugha mnisaidie ha maneno utofauti wake.