Jamani, mimi nimemaliza chuo mwaka huu mwezi july, nilikuwa na project fulani ambayo nilitaka mnisaidie ili niweze kui accomplish vizuri.
Mimi naishi kijijini ambapo watu huvuna mahindi hadi gunia 100 kwa kila mmoja. Sasa huwa wanahangaika jinsi ya kubungua mahindi na hivyo kutumia gharama kubwa kuwalipa wabunguaji ambao hata hivyo hutumia mda mwingi.
Sasa nilikuja na wazo la kutaka kutengeneza mashine ya kubungua mahindi(Maize Sheller), sasa nimefuatilia baadhi ya tutorials za youtube jinsi ya kuzitengeneza, lakini sikufanikiwa kuzipata, bali nilizozipata ni tutorials za jinsi inavyo fanya kazi.
MASWALI YANGU
1)Je, nikiweka roller inayozunguka yenye vyuma itasaga hayo mahindi badala ya kuyabungua.
2) Ni vifaa gani na mtaji gani niweze kuinvest ili nifanikiwe?