upgrade tu ,ukiface tatizo la chaj basi uta downgrade tuWadau nimepata ujumbe toka Sony juu ya ku-Update OS ya simu yangu z3 kwenda Mashmallow..... Naombeni wenye uzoefu na hili.
Vipi nikiupgrade haiwezi niletea shida, maana nimeizoea hii lollipop na haija nisumbua kabisa kwenye issue ya kutunza chaji na matumizi mengine ya kawaida.
Nimesoma mahali hapa ndani, wengi wakilalamika kuwa baada ya ku-upgrade simu zao zimekuwa zikiwaletea usumbufu vipi haliwezi nitokea pia?
Na incase nikitaka Upgrade ni njia ipi inafaa kati ya kutumia WiFi au mobile network?
Natanguliza shukrani za dhati.....
Wameniambia sitaweza ku-revert to previous OSupgrade tu ,ukiface tatizo la chaj basi uta downgrade tu
tumia njia yoyote tu ilimradi network iwe nzur
Unaonaje ukifanya mwenyew sasa?
Download firmware hapa
Firmware for Samsung SM-G900F
Odin hapa
Download Odin_v3.09.zip | DevFiles.co - Free file hosting for Android devs!
Drivers hizi hapa
http://www.mediafire.com/download/wvv4ih8luvgy7rc/Samsung-Usb-Driver-v1.5.59.0.exe
Ukisha download hivyo vitu vitatu hapo kaz inabak ndogo
Lazima uwe na pc mkuu
Kcamp bado nakusumbua. Hujapata chochote kwa simu yangu juu ya ku upgrade?Mkuu simu hii haina updates (see attachment) ila naomba usichoke kutafuta huenda ukakutana na namna ya ku update!
hiyo simu mkuu hata siifaham,hata google nashindwa kuiona hivyo nakosa jibu la kukupa,umejaribu kuchek updates?
mkuu simu yako hata kuijua napata shida mkuu,,mtandaon haionekaniKcamp bado nakusumbua. Hujapata chochote kwa simu yangu juu ya ku upgrade?
Kcamp bado nakusumbua. Hujapata chochote kwa simu yangu juu ya ku upgrade?
kcamp, hi! Katika kupita huku na kule nimejifunza kuwa kuna software kwa ajili ya ku upgrade any android. Please msaada kama unayo nataka kwenda Lollipop 5. Please!!mkuu simu yako hata kuijua napata shida mkuu,,mtandaon haionekani
kcamp, hi! Katika kupita huku na kule nimejifunza kuwa kuna software kwa ajili ya ku upgrade any android. Please msaada kama unayo nataka kwenda Lollipop 5. Please!!
Da! Aisee. Wacha niwe mpole. Ila nimepata mautundu nime - root simu yangu na nimeweza kuchakachua poweramp! Asanteni Wataalamu JF!hakuna software moja ya kufanya upgrade kwa android zote kila simu ina njia zake mkuuu,
mkuu msaada wa kupata android version mpya simu ni LG G2Unaonaje ukifanya mwenyew sasa?
Download firmware hapa
Firmware for Samsung SM-G900F
Odin hapa
Download Odin_v3.09.zip | DevFiles.co - Free file hosting for Android devs!
Drivers hizi hapa
MediaFire
Ukisha download hivyo vitu vitatu hapo kaz inabak ndogo
Lazima uwe na pc mkuu
Kcamp za asubuhi. Nawezaje ku -upgrade SAMSUNG ACE 3 kwenda lollipop/marshmallow? Msaada pleaseDa! Aisee. Wacha niwe mpole. Ila nimepata mautundu nime - root simu yangu na nimeweza kuchakachua poweramp! Asanteni Wataalamu JF!
CyanogenNaombeni custom rom yoyote nzuri kwa gallery s4 gt-i9500.
Nilizonazo ni (roms)
S6 rom
Mashmallow (5.1.1 na 6.0.1)
Albe95.
Nikipata nje ya hizi nitashukuru
Huez mkuu labda kwa custom romKcamp za asubuhi. Nawezaje ku -upgrade SAMSUNG ACE 3 kwenda lollipop/marshmallow? Msaada please
Nipe uchambuzi kitaalamu kidogo pamoja na linkCyanogen
Unataka kufaham nn Kahusu cyanogenNipe uchambuzi kitaalamu kidogo pamoja na link
VersionUnataka kufaham nn Kahusu cyanogen
Siwez kuandika vyote hvyo kwa sasa, ila nenda Google search CM 13 for Samsung s4Version
Computing capabilities
Features
Na mengine km hayo
Pamoja na shida zake