Wataalamu wa kompyuta na mathematics njooni hapa mnisaidie!

ufumawicha

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
504
209
Ukitaka kuandika swali la kihesabu kwenye mtandao/website pamoja na zile symbols zinazotumika kwenye hesabu kwa lengo la kupata solutions kwenye mtandao unafanyaje?NISAIDIENI JAMANI NINA MASWALI MENGI NINAHITAJI SOLUTIONS!!!
 
ukiwa kwenye M.S word nenda kwenye 'insert' --> 'symbols'--> tengeneneza equation yako then copy afu paste kwenye search box ya google.

My take:Elimu haipatikani kirahisi.
 
Jifunze program language kama c, c++ na ndani utajifunza functions, hesabu hizo fomula zake zinafanywa kwa function
 
Ukitaka kuandika swali la kihesabu kwenye mtandao/website pamoja na zile symbols zinazotumika kwenye hesabu kwa lengo la kupata solutions kwenye mtandao unafanyaje?NISAIDIENI JAMANI NINA MASWALI MENGI NINAHITAJI SOLUTIONS!!!

Tumia Microsoft equation, exel au word inazo.
 
ukiwa kwenye M.S word nenda kwenye 'insert' --> 'symbols'--> tengeneneza equation yako then copy afu paste kwenye search box ya google.

My take:Elimu haipatikani kirahisi.
NIMEJARIBU NJIA HII BAADA TU YA KU-PASTE KWENYE SEARCH BOX YA GOOGLE, EQUATION IMEVURUGIKA!!! NAOMBA MSAADA ZAIDI
 
Ingia youtube ujaribu kuuliza swali hilo. Naamini kuna video yenye suluhisho la tatizo lako.
 
Back
Top Bottom