Wataalamu wa IT wa Tanzania ni 'zero' kabisa

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,276
Reaction score
2,435
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
 
Asili ya mbongo ni msanii msanii anayependa short cut hataki kujifunza wala kuumiza kichwa na sasa GOOGLE ndio imekuwa kichaka cha wavivu

1. Tuna degree za google ni copy and paste library vitabu hawasomi

2.Tuna P.H.D za google unakuta mtu kaandika likitabu kuubwa hata ndani yake hajui kuna nini, akisha search ile key word basi ana copy nzima na kubandika , sasa ukutane na cover alivyoliremba na tittle ilivyondefu utadhani kafanya tafiti kweli

4.Hili suala la IT ndio ugonjwa wa Taifa kabisa, unakuta kuna vijana wengi wana ma vyeti ya kutisha lakini ukiwa na kampuni na unahitaji mfumo lazima uende india bila hivyo mbongo atakusimulia hadithi za abunwasi za programing ukimpa kazi ndio anarudi kwa BABA WA WAVIVU MZEE MWENYEWE GOOGLE
 
Yaani ndo nimeamini. Kuna kampuni ilishaingia chaka mil 70 hapa hapa bongo na jamaa alikimbia bada ya kuona jela. Wakianza kuelezea programming humu utafikiri wanataka kutengeneza rocket. Hovyo kabisa
 
Wote ni zero. Usilolijua kazi nyingi wanachukua wa kenya na wahindi. Sikuwaza kujua hilo. Imebidi nifatilie hilo.
Unawezaje kuita watu wote zero baada ya kufanya kazi na kampuni moja tu na kusikia hadithi za wengine?
🤦‍♂️
 
Mkuu guzman_ uzi wako huu umenifanya nijiskie uchungu sana sana ukizingatia mimi ni a computer science guy.
Lakin yote katika yote umezungumza ukwel kwa 50%.Na kilichonishangaza zaid ni hapo kwa hao jamaa kuwa wamesoma nje ya mipaka ya Tz na africa ambapo huwa tunaamin kuwa ndio kuna maarifa makubwa na elim kubwa.Strange kushindwa kufanya kaz kama hiyo.

Ofcz naweza kuku critisize kwenye baadha ya fact as umeongea kwa uchungu wa kupigwa hela na kupotezewa muda but tuyaache hayo kwakua sio ya msingi sana.

All in all hawa watu wengi ambao ni wabovu kwenye haya mambo ndio wanatuharibia sana soko sie wengine wachache.Unakuta wana download ma "open source codes" hukoo wanakuja ku paste even without knowing the stuf in detail .(ofcz is not a crime as standard za ku practise coding now days zime badilika kwa kurahishwa zaid).

But kuna watu compitent sana tu hapa bongo.Ni vile ulibabaika na ma cv ya china na america au hukua na aproach nzuri ya ku get intouch with real people.

NB
Sema bongo kuna bogus wengi sana with smart and convincing appearances 😂😂
 
Naandika kwa uchungu sana. Nilipewa instructions ya kutafuta kampuni ya IT hapa Tz kudisign app na web kwa ajili ya masuala fulani fulani. Nikawacheck jamaa fulani ni IT wazuri tu (kwa mjibu wao na ka kampuni kao uchwara) na mmoja kasoma US mwingine China. Nikawapa 15,000,000/= waanze kazi. Hii ni baadhi ya malipo ya awali.

Miezi mi4 hakuna feedback. Tukasema tusubiri labda jamaa wako kazini. Miezi 6 hola. Miezi 12 hola. Huku na huku nikapigiwa simu kazi tayari. Nikasema poa. So nilikuwa mbali. Nikamtafuta software engineer ni mkenya afanye testing. Aisee jamaa alicheka sana. Ikasema hao vijana wamegoogle templates wameedit na kupachika na ni bogus development.

Idea ilikuwa kuwa na software inayotrace magari ya kumpuni, yako wapi, yametembea kilo ngapi and other staffs-Real time data.

Wakaishia kutengeneza utopolo tu. I guess wako humu pia. Ilibidi tulipe upya tukapeleka project Rwanda. Vijana wamedesign from scratch na within 4 month wamekabidhi kazi.

Sasa naelewa kwa nini watu hawataki kuwekeza kwenye IT Bongo. Ujinga mtupu. Hawa vijana wetu wafuge tu kuku kwa kweli. Hivi nyie ndo mtaweza hata kushindana na Bolt+uber?.

Anyway sijui CS/IT mnafundishwa nn huko vyuoni. Natamani kujua mitaala yenu.

100% disappointed.
Yaan we mpompo kweli mm unisumbue kazi ya mil 15 unifanyishe kazi miezi yote hiyo. Ungetoa pesa ya kueleweka ungepata watu wa kueleweka pia
 
Mkuu guzman_ uzi wako huu umenifanya nijiskie uchungu sana sana ukizingatia mimi ni a computer science guy.
Lakin yote katika yote umezungumza ukwel kwa 50%.Na kilichonishangaza zaid ni hapo kwa hao jamaa kuwa wamesoma nje ya mipaka ya Tz na africa ambapo huwa tunaamin kuwa ndio kuna maarifa makubwa na elim kubwa.Strange kushindwa kufanya kaz kama hiyo.

Ofcz naweza kuku critisize kwenye baadha ya fact as umeongea kwa uchungu wa kupigwa hela na kupotezewa muda but tuyaache hayo kwakua sio ya msingi sana.

All in all hawa watu wengi ambao ni wabovu kwenye haya mambo ndio wanatuharibia sana soko sie wengine wachache.Unakuta wana download ma "open source codes" hukoo wanakuja ku paste even without knowing the stuf in detail .(ofcz is not a crime as standard za ku practise coding now days zime badilika kwa kurahishwa zaid).

But kuna watu compitent sana tu hapa bongo.Ni vile ulibabaika na ma cv ya china na america au hukua na aproach nzuri ya ku get intouch with real people.

NB
Sema bongo kuna bogus wengi sana with smart and convincing appearances
Bro hakuna mtu anapiga code from scratch, huwa zinachukuliwa template unaziedit utakavyo, ama la huwa tunakopa code then unaedit
 
Yaani ndo nimeamini. Kuna kampuni ilishaingia chaka mil 70 hapa hapa bongo na jamaa alikimbia bada ya kuona jela. Wakianza kuelezea programming humu utafikiri wanataka kutengeneza rocket. Hovyo kabisa
Na wana bahati sana na strategy nzuri za kuvutia wateja.Wanapoharib halaf tunatokea sie wengine bas hata fursa ya kusikilizwa hupati.

Kuna project yangu flan i was introducing to institution flan hiv upcountry (nilifanya hiv purposely cz town dar hawa programmer uchwara wameshachua kabis haki ya hewa)

Nitawaelezea clients wawil kati ya wengi niliokutana nao.

1.Wa Kwanza.
Baada ya kufanya presentation na demo it took them over 3 months kufanya baxkground check na kujiridhisha kuhus what i was offering.
Wakaja nichek December 2021 kwamba "aisee now we want to deploy ur software kwenye kaz zetu,lets so the system"
Tulipoanza kaz yule boss akanambia akasema tulishakua na system kama hii yako ila haiku deliver kabisaaa..Na kila tulipokua tunawa consults technicians ili wafanye adjustments flan flan wakawa wanapiga chenga af wanaona kama tunawasumbua.Baada ya muda na kufanya juhud za hapa na pale tukagundua kuwa hawana uwezo huo tukaachana na hii kitu na tuli invest pesa nying sanaaaa...aka login kwenye system hiyo akanionyesha na nilishangazwa sana.
Siku comment anything negative nikamwambia tu kuwa " most of programmers do not own these solutions..They grab them from somewhere and yet they cant customize them good enough.

So iliwachukua muda kuni trust.But they doing so fine now rest assured.

2. Wa PILI.
nimechoka kuandika.😁
 
Bro hakuna mtu anapiga code from scratch, huwa zinachukuliwa template unaziedit utakavyo, ama la huwa tunakopa code then unaedit
Kuna kitu nimesema hapo juu..standards ziku hiz zime change sana.na ziko more simplified.. (perhaps hiz ndio negative impacta zenyewe..maana wewe uchukua template hii na mwingine by coisedence naye a utilize same template japo kwa scope tofauti, mnajikuta the outlook ni the same..)

NB.
Coding from scratch bado wapo watu wanafanya brother
 
Back
Top Bottom