wataalamu wa IT naomba kujuzwa kwa kina.

Juma chief

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
2,757
2,353
ACCESS
SOFTWARE
HARDWARE
Maneno hayo yanatumika kwa namna gani ktk ulimwengu wa technology...
 
Ngoja nijitahidi japo kuyaelezea kwa kiswahili pagumu.

Access - Uwezo wa kuingia kwenye kitu na kuweza kukitumia. Mfano, Umeweza kuwasha computer, ukaingiza password na ukaweza kufanya shughuli zako. Hapo tunasema una-aaccess au umeweza ku-access hiyo computer.

Mfano mwingine, kwenye computer kuna files ukiweza kufungua files ukaweza kulitumia mfano kusoma, ku-edit, kulifuta hapo tunasema wewe una access au permission ya hilo file.

Software- Hapa wanamaanisha programu au application zinazofanya kazi kwenye computer. Mfano wa software ni Operating system, Application programs kama vile microsoft office, jamiiforums, vlc player.

Hardware - Hizi ni sehemu za nje na za ndani zinazounda computer. Hizi unaweza kuzishika kwa mikono tofauti na software ambazo huwezi kuzishika. Mfano motherboard, RAM, CPU, Keyboard, Mouse nk.

Ni matumaini yangu nimejitahidi kukuelezea kwa lugha yetu. Wanaosema tutumie kiswahili kusoma hivi vitu kazi ipo, wanatakiwa wajipange kweli kweli.
 
Kuongezea kwenye ACCESS.

Microsoft wana Software yao Inaitwa Microsoft Access, ambayo inatumika kama Database.

Database ni mfumo wa kuweka kumbu kumbu ila sio Memory. Mfano watu wanapoandikishwa kupiga kura majina yao yanawekwa Database ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
 
nashkuru mkuu kwa kunitoa tongotongo maana tunatumiaga tuu vifaa pasina kujua vinavyoendesha vifaa hivyo..!!..
 
Kuongezea kwenye ACCESS.

Microsoft wana Software yao Inaitwa Microsoft Access, ambayo inatumika kama Database.

Database ni mfumo wa kuweka kumbu kumbu ila sio Memory. Mfano watu wanapoandikishwa kupiga kura majina yao yanawekwa Database ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
nashkuru kwa kuongezea mkuu...!!..
 
Ngoja nijitahidi japo kuyaelezea kwa kiswahili pagumu.

Access - Uwezo wa kuingia kwenye kitu na kuweza kukitumia. Mfano, Umeweza kuwasha computer, ukaingiza password na ukaweza kufanya shughuli zako. Hapo tunasema una-aaccess au umeweza ku-access hiyo computer.

Mfano mwingine, kwenye computer kuna files ukiweza kufungua files ukaweza kulitumia mfano kusoma, ku-edit, kulifuta hapo tunasema wewe una access au permission ya hilo file.

Software- Hapa wanamaanisha programu au application zinazofanya kazi kwenye computer. Mfano wa software ni Operating system, Application programs kama vile microsoft office, jamiiforums, vlc player.

Hardware - Hizi ni sehemu za nje na za ndani zinazounda computer. Hizi unaweza kuzishika kwa mikono tofauti na software ambazo huwezi kuzishika. Mfano motherboard, RAM, CPU, Keyboard, Mouse nk.

Ni matumaini yangu nimejitahidi kukuelezea kwa lugha yetu. Wanaosema tutumie kiswahili kusoma hivi vitu kazi ipo, wanatakiwa wajipange kweli kweli.
Ahsante sana mkuu nimejifunza kitu hapa, Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom