wanajamvi, leo nilikuwa narekebisha sub woofer ya mchina, yenyewe ni 5.1CH. sasa ic zake za bass zikawa zimeharibika na nlipobadili mpya inawaka fresh lakin ukiweka saut kubwa inakwaruza spika ya bass ,

Mkuu, pima voltages za power supply (- & +)relative to ground uone kama ziko sawa na zinalingana. Unaweza kuta moja iko weak. Pia check lead wire za spika huenda zimekatika hivyo kusababisha kuparaza ukipiga sauti kubwa.