Juzi nimesafiri toka Kanda ya ziwa mpaka Dar. Njia nzima mpaka Morogoro ni mvua tupu, kubwa. Kusini vile vile ni mvua kubwa Lindi, Mtwana na Nyanda za juu kusini, ni mvua tupu.
Kufika Tanga na Dar ni kukavu kabisa.. Kuna sababu zozote za kisayansi kuelezea hali hiyo?
Kufika Tanga na Dar ni kukavu kabisa.. Kuna sababu zozote za kisayansi kuelezea hali hiyo?