Plaintiff
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 308
- 203
Jamani nahitaji kuunda circuit ambayo itatrigger alarm iwapo D.C Voltage itashuka below 0.35V
Sidhani kama itakuwa complicated sana as ndio circuits ambazo zinatumika kutrigger notification ya battery low kwenye electronic devices nyingi.
Msaada wa mawazo jamani sababu wakati wenzangu wanasolve OPAMP kwenye electronics Advance, mimi nilikuwa naruka juu ya madawati.
Sasa ndio nimejua sijui.
Ukiweza kuprovide na calculation nitashukuru sana.