Wataalamu wa electronics

Plaintiff

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
308
203
Jamani nahitaji kuunda circuit ambayo itatrigger alarm iwapo D.C Voltage itashuka below 0.35V

Sidhani kama itakuwa complicated sana as ndio circuits ambazo zinatumika kutrigger notification ya battery low kwenye electronic devices nyingi.

Msaada wa mawazo jamani sababu wakati wenzangu wanasolve OPAMP kwenye electronics Advance, mimi nilikuwa naruka juu ya madawati.

Sasa ndio nimejua sijui.

Ukiweza kuprovide na calculation nitashukuru sana.


a.jpg
 
Proteus sina.

In short voltage inatakiwa kudrop from 3V mpaka 0.5V ambayo ndio standard.

In case ikishuka below 0.5V kunakuwa na tatizo. Ila tatizo litakuwa worse endapo itafikia 0.14V

Sasa nahitaji system ambayo itatrigger buzzer voltage itakapofika 0.3V mpaka 0.35V (eneo hilo).
 
Proteus sina.

In short voltage inatakiwa kudrop from 3V mpaka 0.5V ambayo ndio standard.

In case ikishuka below 0.5V kunakuwa na tatizo. Ila tatizo litakuwa worse endapo itafikia 0.14V

Sasa nahitaji system ambayo itatrigger buzzer voltage itakapofika 0.3V mpaka 0.35V (eneo hilo).
chini ya 0.5V, hmm, labda uwe na external source kuipawa iyo buzzer na iyo IC hapo (LM3XX),

LM3XX itahitaji walau 2V kufunction
 
Nmeona LM393 Ambapo ina voltage range ya -18V to positive 18V

Yes buzzer hata kama itakuwa na power source yake haina shida. Kikubwa tu hiyo voltage 0.3 ndio ifanye trigger ya buzzer kulia.
 
range ya -18V to positive 18V
-18V ni kwamba supply ni 18V ila iko reversed, haimaanishi imeshushwa mpaka 0V mpaka -18V

hii ni dual supply, kufanya output iwe more fidel, iswing +/-

kama both buzzer na LM ziwe na external supply , you are good to go
 
Heshima kwenu GTs.
Karibu kwenye fani Plaintiff.
Hakuna haja ya kujuta kwa kuto-solve calculations za Opamp Advance, maana hujachelewa. Elimu haina mwisho. Kipindi hicho hukuona umuhimu wake. Muda huu wa uhitaji wake ndo mzuri kwako kujifunza.

Je, hiyo proposed system itakuwa powered na power source ya aina gani? Battery(Dry cell au accumulator) au utility power? Je specifications za power source zitakuwa zipi?
 
Back
Top Bottom