Download Operamini for browsing na downloading ndogo ndogo
ipo ipo pia trick ya kuinstall whatssap na ukaitumia kwa bundle la kawaida, google kwa sana
mkuu, download blackberry setup for desktop, then uwe unachomeka kwenye computer ndo uwe unatumia vifurushi vyako kama kawaida, yan use your bb device as a modem...wakuu natumia BB 9900,.
Naombeni msaada wenu ni jinsi gani naweza kutumia Megabytes ninazopewa kutokana na bundle za kawaida ninazonunua tofauti na kujiunga na special bundle kwa ajili ya internet!!
Natanguliza shukrani wadau
Fanya Settings zifuatazo hapo chini. Tick APN SETTINGS ENABLE, Kisha kwenye USERNAME FOR APN jaza internetsijakupata mkuu,. Ina maana nikishadownload Opera mini hakuna haja tena ya kujiunga na Special bundle za BB