Dishunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 276
- 58
ndugu zangun mi nina tecno m3 ilikuwa inapiga kazi fresh,nimeinstall avast antivirus kwa ajili yaulinz wa sim yangu but nilipokuwa naijaribu kwa kutumia pc nikakuta nimetuma command ya kulock so simu imeblock now nimejaribu kutuma command ya kuunlock inaniambia timeout baadae imeonyesha command imeenda lakin simu bado imeblock inaonyesha sehemu ya ku enter pin nimeingiza my avast pin inasema wrong pin.command nyingine kama siren on,siren off zinzpiga kaz fresh.msaada wenu jaman unahitajika cm haina hata mwez