Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya X
Why can't I remove the Samsung app(not delete it) but for it not to show up like this? I'm using Google messaging for the first time since upgrading to my S24+(because of chat messages) and it won't only show Google messaging
Kuna hii simu yangu Aina ya Samsung, nahitaji msaada namna ninaweza kuondoa hii option ya message nibakiwe na moja. Ninayohitaji kuondoa ni hiyo niliyoweka alama ya XView attachment 3157596
Huwezi ukaidisable, fanya hivi unistall hiyo app ambayo huitaki kwa kutumia ADB, sijui exact procedures kwa Samsung, ila search YouTube kitu kama hiki How to uninstall Samsung Bloatware using ADB, sharti uwe na PC lakini.
Huwezi ukaidisable, fanya hivi unistall hiyo app ambayo huitaki kwa kutumia ADB, sijui exact procedures kwa Samsung, ila search YouTube kitu kama hiki How to uninstall Samsung Bloatware using ADB, sharti uwe na PC lakini.
huwez disable app iliyokuja na siku mkuu,, kumbuka iyo ni samsung masage,ni app ya samsung na simu ni ya samsung, apo ni kudefault tu iyo google massage basi,, labda kama ungekua na simu aina za google pixel automatic google sms inakuja tayar iko simu.
kama ni hivo nenda hapo kwenye sms kuna vidoti/vimstari vitatu ingia setting then angalia text message zinaseviwa wapi kuna sim card na phone hiyo yako utakuwa text message saved to phone ndomana ukifuta kule kwenye sms bila kuja kufuta na huku zinarudi.. sasa ww weka text message saved to sim card hapo hata ukifuta hazirudi na itasolve tatizo lako