Wataalamu wa amplifier

Wataalamu wa amplifier

zakayoyoung

Senior Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
140
Reaction score
38
Wakuu wa mambo haya nisaidieni namna ya kujua Aplifier inatakiwa itumie input power volt ngapi kwa kutumia multimeter na namna ya kujua kuwa Amplifier imetoa watt ngapi na inatakiwa nitumie spiker ya ohms ngapi au watt ngapi ili ziendane.. yani yote hayo nataka kuyafahamu kwa kutumia multimeter....

Wajuzi nisaidieni maana nimejaribu kuunda amplifier kwa kutumia IC aina ya TDA2050 afu power supply yake nimetumia ya v6 afu spika nikaweka ya watt 5 ililia vizuri lakini spika ilichanika ndani ya nusu saa tu.

Ndiomaana nimeamua kuuliza ili nifahamu namna ya kupagilia ili amplifier itoe sauti Quality....nisaidieni wakuu nawaomba

Asante sana.
 
Dah...Safi sana,,,,unahitaji mengi ya kujifunza.... Audio Power Amplifier ndiyo maneno ufunguo
 
Wakuu wa mambo haya nisaidieni namna ya kujua Aplifier inatakiwa itumie input power volt ngapi kwa kutumia multimeter na namna ya kujua kuwa Amplifier imetoa watt ngapi na inatakiwa nitumie spiker ya ohms ngapi au watt ngapi ili ziendane.. yani yote hayo nataka kuyafahamu kwa kutumia multimeter....

Wajuzi nisaidieni maana nimejaribu kuunda amplifier kwa kutumia IC aina ya TDA2050 afu power supply yake nimetumia ya v6 afu spika nikaweka ya watt 5 ililia vizuri lakini spika ilichanika ndani ya nusu saa tu.

Ndiomaana nimeamua kuuliza ili nifahamu namna ya kupagilia ili amplifier itoe sauti Quality....nisaidieni wakuu nawaomba

Asante sana.

TDA2050 , TDA2030, TDA2003 zinatumia input power ya 12V, kuhusu output power hiyo TDA2050 nadhani ni WATTS 15 hadi 20. hiyo ni IC inayotumika kwenye Subwoofer nyingi za kichina. utakuta ndani zipo kama IC tano , moja kwa kila speaker na woofer yenyewe inatumia IC mbili aina hiyo.

speaker unayotumia hakikisha sio chini ya 15W.
 
Asante sana mkuu kwa kunielewesha ila bado na maswali kwakua nataka kufahamu..

Nahitaji niunde amplifier kwa kutumia ic mbili za tda 2030 na 2050

yani moja itoe bass au woofer na ic nyingine ya pili itoe sauti ya kawaida kama tuita.

Je? niiunde vipi ic moja itoe bass au woofer maana ndicho kinacho nisumbua mkuu nisaidie
 
Je naweza kutumia ic mbili za tda 2030 na 2050 kutengeneza amplifier yaani ic moja itumike kwenye bass au woofer na nyingine itumike kama tuita mkuu nsaidie hapo
Mkuu hyo TDA inatumia 12V. Output ni 60 watts
 
Unaweza. Ila inabidi uwe na preAmp ambayo ita process Signal kqa ajili ya Woofer na Midi Speaker.

Pia kuna michoro ya TDA ambayo ipo tayari ambayo inatumia IC mbili

Inawezekana, kama mkuu Hazchem plate alivyosema. Inabidi uwe na pre amp inayoweza kiprocess signal itakayoenda kwenye IC (Amp ya kwanza) kama Trebble, na pia signal ya pili itakayoenda kwenye Amp ya pili ikiwa kama Bass.

Kifupi hapo kinachofanyika na hiyo pre-amp ni ku-Equalize signal kama trebble au bass.

Njia ya kienyeji ya kufanya hiyo bila kutumia pre-amp, ni kufunga ceramic capacitor in series kati ya input ya amplifier na source signal , hapo utapata trebble.

Na unapofunga ceramic/ electrolytic (polarity) capacitor in parallel kwenye input ya amplifier basi utapata bass.

Hizo capacitors inabidi uwe nazo zenye value tofauti tofauti ili ufanye majaribio ya bass au trebble unayotaka.

Kumbuka kama unaunda amp mbili (yaani input/output zaidi ya moja), basi pale kwenye input ni lazima kila line ya input inatakiwa iwe na volume controll yake (variable resistor) , kwa idadi sawasawa na idadi ya input/output. Hii itakusaidia pia baadae utaweza kubalance speaker LEFT na RIGHT.

Power supply pia ni vyema ikawa ina output zinazojitegemea kwa kila amplifier na current ya kutosha.

Sent from my Nokia 2.1 using Tapatalk
 
Mkuu nimekukubali sana we pia napenda kujifunza zaidi kupotia wewe mkuu.

Maana leo nimetumoa ic tda2050 only imetoa sauti quality lakini sio bass nikajaribu kuweka capastor uf100 kwenye pin1 ya audio input na pin2 ikawa bass haswaa tena nzuri tu sasa nataka niziunganishe ic mbili za tda zafanye kazi kwa pamoja ila moja iwe bass na nyingine iwe kama tuita output yake an..

Nisaidie bc ili nizi connect mkuu

Pia nisaidie nambaako mkuu maana nipo tiyari hata kwa malipo unielekeze nisivyovifahamu katika uundaji wa amplifier maana component ninazo nyingitu.
 
Nisaidie bc niupate huo mchoro mkuu nitashukuru sana
Unaweza. Ila inabidi uwe na preAmp ambayo ita process Signal kqa ajili ya Woofer na Midi Speaker.

Pia kuna michoro ya TDA ambayo ipo tayari ambayo inatumia IC mbili
 
Back
Top Bottom