Habari wadau,nina pc dell(desktop),nikiiwasha inaniletea message,no booting devicena maelezo mengine mengine kama press F1,press F2 etc,nimejaribukubadilisha hard disc lakini tatizo lipo pale pale!naomba msaada kwa mwenye ujuzi,au kwa yeyote aliyewahi kupata tatizo kama hili,natanguliza shukrani