Wataalamu naombeni msaada kwa hili

TAECOLTD

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
1,055
2,000
Kuna kazi moja ya nje yaaan kidumu kinacholiwaza pindi mamsapu akifura... Mwezi uliopita nilikua nae ndani ila hatukufanya yaaan zilikua zile romance za hapa na pale na mengineyo hadi nguo akavua kabisa ila mie na nguo zangu ila katika yote mamsapu akapiga simu nikasepa.

Tatizo tangu hapo binti akawa anadai anajihisi vibaya yaaan anahisi ana mimba, nikamuuliza mbona hatujafanya? Akasema hata yeye hajui na hana mtu mwingine zaidi yangu. Nikamwitikia ila moyoni nikajua anataka kuniuzia mbuzi kwenye kiroba

Yaaan akifika hatua anatapika kabisa na akaanza kuchagua vyakula mixer kula udongo na mavitu machachu nikajua tayari wajanja wameweka ila nikauchuna

Akawa na dalili zote za mimba, nikampeleka hospital kupima wakasema hana mimba. Kafanyiwa vipimo vyote hana tatizo ila ana dalili zote za mtu mjamzito. Jana kaingia siku zake ina maana hana mimba, hili swala limeniacha njia panda inawezekana vipi mtu kua na dalili zote za ujauzito ilihali hana lolote?
 
Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,250
2,000
Imeandikwa hivi; "hata ukimtazama mwanamke kwa tamaa mbaya tayari unakuwa umeshazini naye moyoni mwako". Sasa kwa kuwa wewe ulifanya naye romance tena akavua mpaka na nguo zote, basi tayari kiroho ulishalala naye na kufanya naye zinaa. Hivyo basi sio ajabu kuwa na yeye amebeba mimba yako ya kiroho. Siri hii ni nzito ndiyo maana YESU KRISTO alisema usimtazame mwanamke kwa tamaa mbaya!

Imeandikwa hivi; "kila pando asilolipanda BABA yangu litang'olewa".... Hata mimba pia ni "pando" na kuna mimba zinazotungwa kwa uwezo wa Ibilisi kupitia watu kufanya zinaa hata za macho tu.

Mwenye masikio na asikie!
 
Mkuu nimeongelea kwenye nyanja ya utaalamu zaidi, hayo ya kiroho ni imani zaidi so huko tuachane napo kwanza maana lengo langu halikua kwenye nyanja ya kiimani

Ingekua ni imani basi sio kwamba sijui au ningeweka kwenye ukuta wa dini kule, ila nimeweka huku ili litatuliwe kitaalamu na sio kiimani

Asante kwa mchango by the way
 
TAECOLTD

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
1,055
2,000
Huyo atakuwa Na mpenzi jini Na ana mimba ya kijini.
Muulize kama haoti ndoto za kufanya mapenzi na mtu asiyemjua
Hapana hajawahi kuota hizo ndoto mkuu hata mara moja... And by the way sitaki swala liishie kwenye mambo ya imani sijui jini sijui pepo bali nataka kitaalamu yaaan laboratory prove na sio spiritual issues
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
52,077
2,000
Hapana hajawahi kuota hizo ndoto mkuu hata mara moja... And by the way sitaki swala liishie kwenye mambo ya imani sijui jini sijui pepo bali nataka kitaalamu yaaan laboratory prove na sio spiritual issues
Tayari maabara wameshasema hana mimba, labda mpeleke kwenye computer laboratory wakamfanye awe ni Artificial Intelligence creature
 
Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,250
2,000
Mkuu nimeongelea kwenye nyanja ya utaalamu zaidi, hayo ya kiroho ni imani zaidi so huko tuachane napo kwanza maana lengo langu halikua kwenye nyanja ya kiimani

Ingekua ni imani basi sio kwamba sijui au ningeweka kwenye ukuta wa dini kule, ila nimeweka huku ili litatuliwe kitaalamu na sio kiimani

Asante kwa mchango by the way
Hapo hakuna "utaalamu wala sayansi" inayoweza kukupa jibu unalolitaka. Hata mimi niliona umewauliza wataalamu lakini hakuna jibu la kitaalamu hapo. NENO la MUNGU ni zaidi ya sayansi, utalaamu, maarifa, busara n.k. Utaalamu na Sayansi na maarifa ya Wanadamu mbele ya NENO la MUNGU ni sawa na upumbavu tu.

Mwenye masikio na asikie!
 
TAECOLTD

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
1,055
2,000
Hapo hakuna "utaalamu wala sayansi" inayoweza kukupa jibu unalolitaka. Hata mimi niliona umewauliza wataalamu lakini hakuna jibu la kitaalamu hapo. NENO la MUNGU ni zaidi ya sayansi, utalaamu, maarifa, busara n.k. Utaalamu na Sayansi na maarifa ya Wanadamu mbele ya NENO la MUNGU ni sawa na upumbavu tu.

Mwenye masikio na asikie!
Umesikika mkuu, usiku mwema
 
comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,315
2,000
Kuna kazi moja ya nje yaaan kidumu kinacholiwaza pindi mamsapu akifura... Mwezi uliopita nilikua nae ndani ila hatukufanya yaaan zilikua zile romance za hapa na pale na mengineyo hadi nguo akavua kabisa ila mie na nguo zangu ila katika yote mamsapu akapiga simu nikasepa.

Tatizo tangu hapo binti akawa anadai anajihisi vibaya yaaan anahisi ana mimba, nikamuuliza mbona hatujafanya? Akasema hata yeye hajui na hana mtu mwingine zaidi yangu. Nikamwitikia ila moyoni nikajua anataka kuniuzia mbuzi kwenye kiroba

Yaaan akifika hatua anatapika kabisa na akaanza kuchagua vyakula mixer kula udongo na mavitu machachu nikajua tayari wajanja wameweka ila nikauchuna

Akawa na dalili zote za mimba, nikampeleka hospital kupima wakasema hana mimba. Kafanyiwa vipimo vyote hana tatizo ila ana dalili zote za mtu mjamzito. Jana kaingia siku zake ina maana hana mimba, hili swala limeniacha njia panda inawezekana vipi mtu kua na dalili zote za ujauzito ilihali hana lolote?

Napenda ule mwimbo UNAIBIIWAAA
 
TAECOLTD

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
1,055
2,000
Mwanaume kamili unachezeaje mpaka mtu avue nguo zote na umuache? Kama sio story za kubuni ni nn.
Katika vitu ambavyo nimefanikiwa ni kujenga uaminifu kwa mke wangu, yaan ndio maana hajui hata kama mie ni mchepukaji mzuri so alipopiga simu nikasepa fasta ila yule binti sikuingiza naniliu yangu ila akawa na dalili hizo. Baadae ikabainika hana mimba, niliachana nae
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
19,654
2,000
Ni kawaida sana
Wengine tunajua tunaingia mwezini kwa hizo dalili
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom