Wataalamu naomba msaada wa hili jambo..

Epafras

Member
May 15, 2015
78
27
Nina mchumba wangu kwa kipindi cha mwanzo alikuwa anabreed vizuri tu lakini sasa anabreed mabonge mabonge ya damu,tatizo ni nini na kuna mazara kwa hali yake anavobreed saizi??
 
Kwanini msiende kwa gynaecologist ? Una uhakika hakuna mimba iliyoharibika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom